Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tukumbushane tu ni kwamba kuna kipindi Manchester City alituacha pointi 14 na sasa ni pointi 1 moja na tupo gemu sawa.

Kuna mtu mwenye swali jamani? Kuhusu hii gemu ya Liverpool vs Arsenal.

Ushindi ugenini 2 na clean sheet murwa kabisa.

Arsenal kabla ya hii gemu walikua wameshinda gemu 5 mfululizo hivyo sio kwamba n dhaifu mbali hawajawa finished article. Mikel anafanya kazi powa kabisa.

YNWA
 

Hata last time tuliwafunga zile 4 ilikuwa walicheza mechi 8 wakashinda 6 sare zilikuwa mbili,walivyokutana na sisi tukawapa nne hizo.

Leo walipania mechi sana wakawa wanakaba sana.

Liverpool tuko imara nyuma na mbele hapo katika bado hakuko vizuri.

Arsenal walikuwa wanajipa moyo leo watashinda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…