Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hahahaha hao watasaka mchawi watarudi nyuma sana utasikia matusi mpaka kwe Fergie, Van Gal, Moyes na Mourinho πππππ...Wamtukane mara ngapi??
Walishamtukana...
Yaani walitandikwa wakasema chanzo ni Ole..aliacha timu imevurugika.
Haya sasa,Mtaalamu wa gengeni amepanga timu bado inachakazwa vibaya.
Bora Ole alijivua na hii mikosi[emoji1787]
Sioni mechi ya kupoteza hapa.View attachment 2152758
Tarehe mpya za mechi zetu mwezi wa nne.
Manchester United itakua Jumanne.
Kazi kazi.
YNWA
Ewaraaaa
Sasa hivi sijui hata wafanyeje[emoji16]Hahahaha hao watasaka mchawi watarudi nyuma sana utasikia matusi mpaka kwe Fergie, Van Gal, Moyes na Mourinho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
YNWA
πππππππWape hio ofa ma shamba ya mpunga si yapo ya kutosha waje tu na mitaji yao.Sasa hivi sijui hata wafanyeje[emoji16]
Au basi waje kulima mbogamboga huku Mbeya
Kuna dogo naye anaanza kunichekesha hapa.Weee humu wanachungulia na kutoka mbio za ajabu wanajua vyema mambo yamegeuka.
YNWA
Hahaha katumia mahaba na kucheza nyumbani.Kuna dogo naye anaanza kunichekesha hapa.
Eti kwa akili yake timamu kabisa alibet akampa man u ushindi!
Yaani huyu hajui kubet jamani[emoji1787]Hahaha katumia mahaba na kucheza nyumbani.
Kwa msimu wa 3 sasa timu kutoka Spain inawatoa UCL hivyo hii sio jambo geni kwao.
El Cholo kazaliwa upya.
YNWA
Waje mbalari tulime mpunga pengine akili itawajia kidogo[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wape hio ofa ma shamba ya mpunga si yapo ya kutosha waje tu na mitaji yao.
YNWA
Huyu Salah ni mtu na nusu[emoji119]View attachment 2152770
Sijui Harry Kane haya mambo akiyasoma anajisikia aje alivyomdiss dogo Salah.
Hatuna neno much respect King Salah mpaka unawekwa eneo moja na Chogo basi kazi yako inaongea uwanjani huhitaji kutetewa mbali namba zako zinazungumza zenyewe.
YNWA
Boy has class.Huyu Salah ni mtu na nusu[emoji119]
Dadeq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]View attachment 2152780
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji854][emoji854][emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]...... Saint Anne.
YNWA
Ni mtu na kipande.Boy has class.
Rarely miss a game.
YNWA
Wanakula mishahara ya ajabu na msimu huu rasmi wanatoka kapa.Dadeq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Hao akina Cr 7 ndio wamekuja kuwatoa kabisa man u kwenye reli.