Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Yeah man. We shall push to the end. We are Liverpool we dont give up.Nafikiri issue kubwa hapa ni ile pressure ya ku push on all fronts. FA Cup, CL and PL.
Like it's hard to focus on a single one kwa kuona labda hatuna nàfasi upande mwingine. Hata kocha anakuwa na hard time ku rotate key players hivyo unakuta kuna ambao wanatumika week in week out. Fatigue must set in asee so kuna games lazima wawe under par.
I hope we can still push though. Mdogo mdogo the Liverpool way.
Resilience is key.
Nyie mtafika wapi?Mnabahati sana na red card ya mchongo kwa ALEXIS....otherwise LAUTARO angewafundisha nini maana ya mpira maana alikuwa na uchu wa magoli haswaa. Hata hivyo hamfiki mbali [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba mwamba kau run away uzi wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hao rent boyz akili hakuna kabisa,kuna mmoja alianzisha uzi eti kombe anampa chelsea kwa kuwa Liverpool alitoa sare na Brighton,sasa hivi ameukimbia uzi wake.
Hao sio wa kubishana nao kabisa mkuu,hao ni wafata upepo tu.
kwani ligi imeisha? lolote linaweza kutokea tu.
toka 2010 hadi sasa muna vikombe visivyozidi wala kupungua sita.Anzia alipoanzia fsg
Muna timu ya kawaida sana muda utadhibitisha hilo.Hahahahahaaaa
Check carabao replay
Halafu unywe maji mengi sana
ubingwa upi nyie kuku mutabeba? ubingwa wenu wa mchongo ni carabao tu inatosha.Tofauti yetu ndio iko hapo....TIMU BORA IKIWAZA UBINGWA WEWE UNAWAZA NAFASI YA PILI...aisee katulie tu
kwa sasa tuna focus na kutetea taji letu la uefa sisi mabingwa wa dunia.Hamtaki tena Ubingwa?
misimu mitano ya klopp ndio amebeba makombe hayo wakati Tuchel amebeba ndani ya msimu mmoja tu tena katikati ya msimu.