Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Rule of jungle.Leo tunatumia Principles Tatu:-
1) Lesser of two evils (Wahuni's principle)
2) Current flows at low resistance conductor (Ohm's law)
3) Adui muombee njaa (Afande Sele's principle)
Hivyo leo hatuhitaji huruma yoyote kutoka kwa Manure bali tutafuata kile Principles zinavyosema.
Hatuko upande wenu hata kidogo wala hatuwatakii mema bali Principles ndiyo zinatutaka tuchague upande! Narudia ni Principles tu.
MY TAKE: Darwin ndiye atakayeamua matokeo ya leo 👉 Survival For the Fittest
Haha Arsenal kashakaa nafasi ya nne sasa kazi kwenu kumshusha.Oya majogoo city mtamfunga wenyewe msitupe sisi mzigo wa lawama
View attachment 2141426
Huyu dogo jana kazima ule mjadala kwamba hawezi ku defend kama wengine.
YNWA
Hahaha Klopp bhana yeye hua ni majibu mafupi tu yaaani kama sio swali vile.
Unaumia sana msimu bado huuKazi mliyomtuma man u kaishindwa kwa hiyo mnafanyaje [emoji28][emoji28][emoji28]
Duuh inasikitisha kwa kweli. Mmekosa kabisa identity bora hata Ole staili yake ilijulikana huyu profesa sielewi mfumo wake ni upi.Asante sana. Hali ya Timu inasikitisha