Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2140975
Pain killer na leo mbebwe tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

YNWA
Hii wame edit bana ,mpira haukufika huko mamaeeee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hata nyie mmepewa carabao aiseee daaa

Nitamwambia Nini mwanangu kuaa hio ya kwanza si offside ila ya pili ni off side[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
VAR ni wahuni aisee kama ukiangalia vzuri utagundua mane wamemdogoisha ,yaaan wamemfanya awe mdogo harafu huyo beki wa westham anaonekana mkubwa ....

Uhuni hautakwisha kwenye mpira [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Acha kujitetea leo shity mnapigwa
 
Wakuu kwahiyo mnasemaje leo??

Leo tunatumia Principles Tatu:-

1) Lesser of two evils (Wahuni's principle)
2) Current flows at low resistance conductor (Ohm's law)
3) Adui muombee njaa (Afande Sele's principle)

Hivyo leo hatuhitaji huruma yoyote kutoka kwa Manure bali tutafuata kile Principles zinavyosema.

Hatuko upande wenu hata kidogo wala hatuwatakii mema bali Principles ndiyo zinatutaka tuchague upande! Narudia ni Principles tu.

MY TAKE: Darwin ndiye atakayeamua matokeo ya leo πŸ‘‰ Survival For the Fittest
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒDuuuh haya muda unasogea leo mtihani kama Profesa apewe mikoba mazima Juni 2022 kuinoa Manchester United ama la.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…