Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Je Minamino akipewa nafasi mbele ya Mane kwenye PL ata deliver kama anavyofanya kwenye cup games?
Anafit zaidi as number 10, ndio maana a struggle Kwa style ya klopp

Yet huyu jamaa needs more game time , with his pace and stamina, he can even play ahead of Harvey Elliot kwenye mido

Kumbuka jamaa ukimpanga kulia, kushoto au katikati moto wale ni uleule
 
Ukiona nyani mjini… ANA MWENYEWE

sasa mwenyewe anarudi porini

Tusubiri wenye timu yao
 
Nawakumbusha tu kuwa Liverpool haijawahi kuvuka FA round ya 4 Toka klopp anafika .....!


Ni mwendo wa kipigo hata akutane na mbeya city uwanjani ...!

Mkuu hachakukalili ,kwa sasa tumeimalika hivyo vitumu vidogo havitusumbui tena.

Klopp alikuwa anawapanga Na watoto wengi sana ndio maana hatuvuki kwenye hiyo round.sasa hivi anaweka watu wazima wengi ndio maana unaona akija yoyote yule tunampiga na kitu kizito kichwani.
 
  • Arsenal out
  • Manure out
  • Spurs out

Itoshe kusema kwasasa FA tumebakia Timu 3 tu za kuwania haka kamicky mouse cup.

  • Liverpool
  • Man City
  • Chelsea

Kuna kila possibility Chelsea kukutana na Man City kwenye kwenye Semi Final while sisi hapo mbele huenda tukakutana na Boro.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…