King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,463
- 7,457
Kuna mtu mwenye swali.
Kelleher si mchezo.
YNWA
We dogo kalaleNaamsha wote waliolala
Pole sanaMshindi lazima apatikane hakuna namna
Itakuchukua wiki kulimaliza au utakua unapasua chupaπ€£π€£π€£Aiseee nikatafute kreti la soda
Rudia tena ujinga wakoNyie majogoo jiandaeni mtukabizi kombe letu jumapili bado tuna njaa na makombe
Aisee haya maneno alisema majuzi Pep Lijnders. Je atabaki mpaka lini akiwa namba mbili wa Allison.Ukitoa Liverpool, Chelsea, Man City, pengine na Manure huyu Kelleher ana uhakika wa kucheza golikipa namba 1 timu zote zilizobakia, Hivyo tuna kazi kubwa ya kumbakisha hapa Liverpool huyu Dogo, lazima Klopp atumie ujanja wa kumgaia Dakika za kutosha au amtoe kwa Mkopo aende akacheze kikosi cha kwanza! Vyenginevyo anaweza kudai kuondoka ili apate muda wa kucheza.
Nishachanganyikiwa hapa namuamsha kila mtu aliyelala hapa nyumbani.Itakuchukua wiki kulimaliza au utakua unapasua chupaπ€£π€£π€£
Hongeraa
Hii mechi angedaka Allison tungekuwa tunaongea mwngineAisee haya maneno alisema majuzi Pep Lijnders. Je atabaki mpaka lini akiwa namba mbili wa Allison.
Dogo ni levo zingine na ni dhahiri sasa Karius na Adrian safari yao imeiva Juni 2022.
Sijui Klopp afanya aje huyu mu Irish kumbakisha klabuni ni hazina tosha kwetu. Timu yao ya Taifa ni chaguo la kwanza hivyo kwa vyovyote vile lazima kwenda mbele awe timu anakocheza week in week out.
YNWA
I can imagine furaha uliyonayo NkamuNishachanganyikiwa hapa namuamsha kila mtu aliyelala hapa nyumbani.
Nimetoka kuogeshwa mitusi ila hata sisikii ,naendelea kushabikia