King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,463
- 7,457
Yah, timu yako ikiwa inafanya vizuri mnakuwa na jeuri. Zamu yenu sasa ila muda upo na uko karibu mtayafunga hayo mabakuli yenu kabisa
View attachment 2125773
Salah apewe mkataba na nina uhakika makombe yatakuja mengi tu na kuvuja rekodi zaidi za ma assist na magoli.
YNWA
View attachment 2125780
Kumbe mpaka wachezaji wa zamani Liverpool waling'aka dogo Henderson kupewa mkataba mpya khaa nikajua ni sie humu JF 😂😂😂 tu haha.
Akiedelea alipoishia mechi ya Norwich sina maneno zaidi ya salute.
YNWA
Yah, timu yako ikiwa inafanya vizuri mnakuwa na jeuri. Zamu yenu sasa ila muda upo na uko karibu mtayafunga hayo mabakuli yenu kabisa
Musialowski ni motoWewe jamani ebu mtoe Captain hapo kwamba hujaona ile assist kali ya Le Captain [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji85][emoji85][emoji85]...
Aafu kama Captain akicheza kati kiasi fulani anakua na impact kuliko akicheza kulia na dogo Arnold..
Elliot kwanza safari yake ya mafanikio ndani ya Liverpool bado kabisa hapa anapewa kwanza foundation ndio maana uliona Klopp kumpanga kule San Siro. Unakumbuka Klopp alivyompanga TAA ugenini Trafford haha akimzima Rashford na baada ya hapo dogo hakuwai kurudi nyuma.
Mdogo mdogo Elliott atakua introduced kwenye set up upya baada ya ile jeraha kua amepona.
Hapa kwa TAA, Elliott, Jones, "Fabio" hawa FSG wameokoa mapesa mengi sana kuingia sokoni.
Fununu ni kwamba pia wapo Marcelo Pitaluga, Mateusz Musialowski, Billy Komuteo hawa soon watakuja kukiwasha hapa pengine 2023 tutapata tena introduction ya mmoja.
YNWA
Nilijua ni Rajab Omar_,@ MosDef ndio hatumkumbali Henderson kumbe hata wachezaji wa zamani wa Liverpool walitamani asiongezwa mkataba.Mzee Baba Hendo kutoa Assist tu juzi munamuandikia Makala kila ya kumpamba sio?
Dah Fabinho anafunga kabisa lakini hamumuandikii makala.