Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mnaandika madini ila sasa mnapochanganya lugha sana ndio mnatupa shida kuyasoma yote
 
Watu mnajua vitu mpaka najiona me mweupe kabisa.
 
View attachment 2121033

@ Ollachuga Oc unaitwa huku. Kumbe kombe la plastiki 😂😂😂😂😂..

YNWA
hawa espn wanazingua sana kipindi liverpool kashinda walimpongeza but kwa chelsea issue ni tofauti, uyo jamaa anachuki tu coz aliwahi chezea chelsea na akachoma chelsea wakiwa fainali y FA alitoa boko man unt wakashinda
 
Y
 
A week hh By
 
Bwana wee nimemshanga sana lile kombe lina heshima yake kwanza ni ndoto kulipata maana kufika hio fainali vijana wame toili sana.

YNWA
 
Nani mwenye sababu ya msingi kwanini kwenye club world cup imeyochukia CL inaanza kucheza nusu final then final ......kiufupi inacheza game mbili tu ..! Huu ni uhuni kwa team zetu za Africa aisee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…