Una shida sana we jamaa. Sasa mbona sie humu huwa hatutoki kwny uzi wetu na kuja kuchafua na mirangirangi kama unavyofanya wewe timu? Humu tunapewa documentaries za maana na watu wenye taarifa kamili kuhusu club yao pendwa. Punguza utoto kama ni recognition umeshaipata.View attachment 2120099hivi ninyi liverkuku mumeshawahi kuwa na mchezaji aliyeshinda Kila kombe.?
Hapa Kante Ngolo kabakisha Euro tu.
Je ninyi liverkuku mumeshawahi kuwa na ania hii ya mchezaji?
#CFC๐๐๐
Kumbe hata nyie hamna aliyechukua makombe yoteView attachment 2120099hivi ninyi liverkuku mumeshawahi kuwa na mchezaji aliyeshinda Kila kombe.?
Hapa Kante Ngolo kabakisha Euro tu.
Je ninyi liverkuku mumeshawahi kuwa na ania hii ya mchezaji?
#CFC๐๐๐
Salute you bro the know how of this transfers dude operate is always welcomed here i mean us we see what's media says but yoy guys are in this for real damn nuff respec bro and dont give up its hard to crack the set upof this dudes but persistence will definitely pay up one day.I respect Edwards, but it was Klopp who upped his game.
Edwards & Dave fallows formed a transfer Commitee (TC), na walikuwa responsible for the signings of Markovic, Moreno, Dejan Lovren, Lallana, Balotelli, Borini, Lambert etc, when Klopp came in with his team, move yao ya kwanza ilikuwa ni kuivunja TC yote na kuanza upya, Edwards akapewa jukumu la ku-see out deals, our scouting department ikafanyiwa re-shuffle, kazi ya kwanza ya Edwards chini ya Klopp ilikuwa ni Grujic ambaye alikuwa recommended na Buvac, but baada ya hapo kuna deals kadhaa Edwards alishindwa ku-close down, kama za Gotze, Zielinski, Alex Teixeira etc, Benitez had to tip Klopp about Gini, klopp himself wanted Mane, Edward was learning, and klopp started to take him serious alivyo-suggest deal ya Mo Salah kama mbadala wa Gotze, klopp had to trust Edwards ana it paid off, but most of the players ambao wapo LFC now wamekuwa suggested na Buvac (Grujic, VVD, Keita, Fekir (failed deal etc), Ljinders (Fabinho, Jota, Diaz, Tsimikas etc), Klopp himself wanted Matip, Ox, Thiago, Minamino etc, then hata Edwards ukiachana na Salah, he suggested kuhusu Alisson, Robertson, Konate etc, but personally i will always respect Edwards kwa kuweza ku-close deals ngumu kwa muda wake aliokuwa LFC, na pia kitu ambacho nimejifunza kwake ni kuwa na utayari wa kujifunza vitu na kupenda kile anachofanya, before Klopp Edwards was a laughing stock at LFC, wachezaji aliokuwa analeta kupitia ile TC ilikuwa ni kichekesho, Klopp ambaye alifanya kazi na guru kama Zorc, angeweza kumfukuza edwards, but decided to trust him na kumpa njia na uzoefu mpya wa kufanya kazi, na kwa kweli Edwards kwenye upande wa ku-close deals huwezi kuacha kumpa pongezi zake kubwa na hata kwa aina ya players ambao alimpa Klopp ukilinganisha na record yake kabla ya klopp, Robertson, Salah, konate etc ni suggestions za Edwards, so ni anastahili heshima zake, maana kuna kipindi Klopp na team yake wakishapata profile ya mchezaji wanamtuma tu Eswards kumaliza deal na anafanikisha.
Namuangalia Julian Ward kwa ukaribu kuhusu hii deal ya Fabio, japokuwa naona Klopp kaamua kuingilia kati mwenyewe, but Ward ana potential.
Man, sionagi wanachofanya kina Fallows, Lijnders alitakiwa apewe extra salary ya ku-scout portuguese & spanish speaking players, ana good eye ya talent, nakumbuka siku ambayo Gonzalo Siegrist (South America LFC based scout) kapewa maelekezo na Club kum-scout Luis Diaz heavly (His playing style, off the pitch life style, his socio-cultural appeal kwenye his home-town etc), na ukishakuwa notified kuhusu hili suala na Club, it means unapewa a big package ya kukamilisha kazi yako, Siegrist alikuwa Ureno tangu October, kwaajili ya scout reporting na baadhi ya weeks alikuwa anasafiri mpaka Colombia ku-study life style ya Diaz, his family na watu wa karibu waliomzunguka (Ndugu yangu kala sana maisha safari hii, maana alipewa mpaka deal ya kuandaa medical), sasa bhana juzi nikaona article ya Grujic anasema kwenye ile game yetu na Porto at Anfield, kuna watu wa LFC walimfata na kumhoji kidogo kuhusu tabia za Diaz, nikacheka sana, namuuliza jamaa hizi ndiyo tactic za kumjua Diaz kiundani, anaishia kucheka, South Americans ni balaa sana kwenye pesa, shortcuts nyingi sana aisee, na ubaya ni kwamba Grujic alivyotoka pale akaenda kumwambia Diaz watu wa LFC wanakuulizia, kitu ambacho kilimchanganya kabisa Diaz, na ndiyo maana hata Spurs walivyoanza mazungumzo na Porto, ikabidi camp ya Diaz i-leak kwenye vyombo vya habari kuhusu interest ya LFC, na agent wake ndiyo aliyewaambia LFC if you want Diaz you need to act now, because Porto are desperate kuhusu pesa na watakubali bid ya spurs, thats where we put Klopp, lijnders & Diaz kwenye zoom call na kumaliza kila kitu, then Julian Ward akamaliza kila kitu kwa upande wa Clubs, but bwana wee Siegrist kala hela sana safari hii, alinipa ishu ya profiling, but tangu nimeirudisha naona vitiki vya blue tu WhatsApp, but i understand him, being a paid scout for LFC ni full-time tough job, no money, so ukipata tumia vizuri, scouts wanaopata deals nyingi ni wale ambao wapo close na kina Fallows England, na ndiyo wanatumwa kila siku around europe, na hama wanacholeta, kina Lijnders, Klopp, Buvac, Edwards mara nyingi wamekuwa wakitumia connections kupata tips za hawa players na wengine wanaonekana kabisa tukicheza nao au kupitia games zingine, kina Fallows hamna kitu na ndiyo maana our academy is so weak.
Na hongera kwa agent wa Diaz, humble dude, na hii ndiyo deal yake kubwa ya kwanza, nadhani ameshajiweka sawa kwenye upande wa marketing sasa, na clubs kubwa zitaanza kumwamini. hongera sana kwake, tumeomba omba vikazi vya ku-profile youngsters wake ili tupate vihela kidogo vya kuishi.
Ninyi Muna mchezaji wa Aina hii Kama ngolo kante.?Una shida sana we jamaa. Sasa mbona sie humu huwa hatutoki kwny uzi wetu na kuja kuchafua na mirangirangi kama unavyofanya wewe timu? Humu tunapewa documentaries za maana na watu wenye taarifa kamili kuhusu club yao pendwa. Punguza utoto kama ni recognition umeshaipata.
Kumbe anaitwa Ngolo?Ninyi Muna mchezaji wa Aina hii Kama ngolo kante.?
Unajiona mjanja kumbe kenge maji flani hivi,,,,acha nikupuuze tuNinyi Muna mchezaji wa Aina hii Kama ngolo kante.?
Hii game ya arsenal lazima mdodondoshe point ...
Only in Liverpool that can happen especially when you local fella man.You can't give Milner another year on his current wages and then say you can't afford to pay Salah what he's asking for.
Hahaha dont mention that era we had the believe that to recapture our lost glory we had to rely mostly buying mediocre players who couldn't handle the expectations damn that was one hell of dark patch.. By the way the old Liverpool success was mostly due to this dudes from Europe and i guess even after that we maintained believing to gain ground we had to buy British duu then came Klopp and changed the whole set up aint this man made for Liverpool.Robertson was a gamble for ยฃ8m, signing yake haikuwa na pressure yeyote from the fans.
I know kuna natural talented British players na ni wachache sana, kwenye my generation niliowaona ni SG, Scholes, Wayne Rooney, Lampard, Harry Kane, Daniel Sturridge (injuries aside), Trent, Foden, Jude, Jacob Ramsey, Elliot, Mason Greenwood (his career might be over now though) etc, hawa ni baadhi ya natural talents ambazo zinaweza kucheza kwenye league ya aina yeyote Europe, because ni special & rare talents.
But, most of British players ni trained robots, huwa wana-thrive kwenye robotic formations ambazo zinawa-suit zaidi, na ndiyo maana mid-table clubs nyingi sana zimejaza British players, na ilifikia kipindi top 4-6 teams in the league zilikuwa hazitaki kabisa ku-deal na British players mpaka FA waka-impose ishu ya home-grown player-rule, na ndiyo imekuwa the only way ya ku-force these players chances za kuingia kwenye top 6 teams.
British players, ukiachana na suala la ku-thrive kwenye robotic formations, pia wana-thrive kwenye comfortable set-ups, Bowen is doing good at West Ham because that is his level, anacheza bila pressure, anacheza kwenye club ambayo haina high hopes/demands/expectations, West Ham wakipata top 4 msimu huu wanakuwa wame-over achieve kupita kiasi, because siyo required standard yao, so kuna mawili kuhusu Bowen, anaweza ku-move kwenye big club na akafanikiwa au aka-flop, hii ni gamble, na huwezi ku-gamble more than ยฃ70m, kwa hiyo price unakuwa una uhakika na unachonunua, British players wengi waliofanikiwa kwenye big clubs ni wale ambao wamekuzwa na teams husika tangu wakiwa young au wale ambao wamenunuliwa kwa low prices ambazo hazina expectations, mfano SG, Owen, Trent etc hawa wamekuzwa na LFC, Gomez, Robertson walikuja kwa low prices ambazo hazikuwa na expectations, Sterling alikuja LFC kutoka QPR akiwa mdogo sana, then pia tuna mifano ya big flops ambazo zilishindwa kuhimili pressure ua ku-deliver at LFC, Andy Caroll was our first record signing at that time (ยฃ36m), Andy was a hot player at time, alikuwa anafanya vizuri at Newcastle kupita maelezo hence the overhyped price tag, but he failed massively, then Downing alikuwa na all-around play nzuri kuliko hata Bowen now, but he failed at LFC, Lallana, Charlie Adams, Jermaine Pennant, Robbie Keane, Joe Cole too, flopped massively at LFC.
Bowen is 25 now, if you pay more than ยฃ70m, it means unategemea instant impact, hakuna time ya ku-develop a 25 year-old player, na kwa price tag yake ni lazima anakuja kuwa starter, so aki-flop inakuwa ni big loss, huge price tag comes with huge responsibilities.
Nani kasema Klopp anaodoka, mkataba ndio unaisha 2024 haha na ata renew.Mkuu me hapo mwisho hapo Kwa klopp 2024,
Hivi kwanini hatuna ushawishi wa klopp abakie?
Naona wengi tunaona sawa tu klopp aondoke na tunasema aje steve G.
Kwanini tusizungumzie kwenye upande wa kubakia klopp ,au ndio tumeshasahau tulipotoka kipindi hutamani kuangalia mechi ya Liverpool ukijua utafungwa tu.
Hatuja kuwa strong kiasi hicho cha kumuachia klopp kirahisi hivyo.
Baada ya 2024 Klopp akae miaka 10 mingine hapo naweza kuamini kwamba tunaweza kujiongoza wenyewe.
Huyo SG asubirie mpaka miaka hata 10 huko ndio aje hapo sio sasa hivi,sijaona kama kuna huaraka sana steve kuwa kocha pale,itakuwa kama lampard mwisho wa siku tutamtimua na klopp tutakuwa tumeshamuacha.
Wengine sisi Liverpool tukifungwa tunaumia sana au Liverpool ikiwa mbovu tunakosa furaha Aisee.
Sasa hivi timu iko vizuri tutulie nayo sio kuanza kuangaika tena tunajiona tayari tumefika.
I understand you, but as it stands Klopp mkataba wake unaisha 2024, na sisi kama fans hatuna cha kufanya, suala lipo mikononi kwa FSG, kama wanaweza kumshawishi abaki au la.Mkuu me hapo mwisho hapo Kwa klopp 2024,
Hivi kwanini hatuna ushawishi wa klopp abakie?
Naona wengi tunaona sawa tu klopp aondoke na tunasema aje steve G.
Kwanini tusizungumzie kwenye upande wa kubakia klopp ,au ndio tumeshasahau tulipotoka kipindi hutamani kuangalia mechi ya Liverpool ukijua utafungwa tu.
Hatuja kuwa strong kiasi hicho cha kumuachia klopp kirahisi hivyo.
Baada ya 2024 Klopp akae miaka 10 mingine hapo naweza kuamini kwamba tunaweza kujiongoza wenyewe.
Huyo SG asubirie mpaka miaka hata 10 huko ndio aje hapo sio sasa hivi,sijaona kama kuna huaraka sana steve kuwa kocha pale,itakuwa kama lampard mwisho wa siku tutamtimua na klopp tutakuwa tumeshamuacha.
Wengine sisi Liverpool tukifungwa tunaumia sana au Liverpool ikiwa mbovu tunakosa furaha Aisee.
Sasa hivi timu iko vizuri tutulie nayo sio kuanza kuangaika tena tunajiona tayari tumefika.
Yupo Urusi anapiga kazi klabu ya Dynamo Moscow ana mkataba mpaka 2024. Ndio Sporting Director wao.Klopp kama ataondoka wangefanya mpango wa Buvac kurudi LFC
Yupo Urusi anapiga kazi klabu ya Dynamo Moscow ana mkataba mpaka 2024. Ndio Sporting Director wao.
YNWA
Mimi nilisema huyo lisbon tunampiga goli za kutosha huko huko kwake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza nilipunguza kala goli 5 ...Hivi hio lisbon ni team ya kukaa na kututisha kweli [emoji28][emoji28]Mimi naona watutafutie team nyingine hii game tushaua mapema ...tunampiga goli 4 kule kule kwake ...!