Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nadhani kila mechi ina matakwa yake ukichukulia huu uwanja huwa kuna hali ya hewa mbaya na wale jamaa wakubwa wanatumia nguvu sana ndio sababu ya kuchezesha kikosi waliozoea mazingira yale pia muhimu ilikuwa point 3 ile mechi sio ya kina Diaz ina kazi imekamilika ni kweli kipindi cha kwanza walipata nafasi lakini kipindi cha pili hawakuwa hatari kabisa yes hatukuwa na haja ya kucheza vizuri sana ila malengo yametimia, haya ni kawaida kuna mechi unashinda bila kucheza vizuri ndio ubora wa team.
 
Just for the records

Mwanzilishi wa uzi wetu ni asenane dam-dam

Kweli the good days zilikua good
 
Okey Sawa uko sahihi lakini turudi kweny e pitch kuna vvd, Becker, Mane na fabinho wote wanafanya vizuri kwenye position zao. Sasa leo hii mikataba ya wachezaji karibia wanne inaisha kwa pamoja mane firminho na salah mwenyewe na wengineo Sasa basi unapomuongeza Salah namna hiyo unategemea unatengeneza nn kwenye timu na hawa wengne waongezwe kutoka alipo Sasa mpaka mshahara anaotaka hapo ni parefu Sana italeta mpalaganyiko kwenye timu ndo maana m6pka leo wachezaji wote hao wameshindwa kuongeza mikataba kwa sababu yake pesa anayotaka nyingi
 
Just for the records

Mwanzilishi wa uzi wetu ni asenane dam-dam

Kweli the good days zilikua good
Mwanzilishi wa huu Uzi ni Mbu ambaye sasa hivi anajiita Ladder. No Liverpool damu huyu jamaa sio Arsenal huyu jamaa.
 
Mkuu kuna Salah mchezaji na kuna Salah biashara nje ya uwanja. Uwanjani yupo vizuri na kibiashara yupo vizuri, ni mtulivu hana kashfa hivyo pia ma endorsement kama yote..

Salah ana deserve mshahara huo wa1, 253, 155, 956tsh(1 billion na ushee) kwa wiki kwa sababu ndio mchezaji anaeuza jezi zaidi akishikilia asilimia 42 ya mauzo yote pia amekua na impact kubwa uwanjani kufunga na kutoa assist za kutosha na pia hua hana majeruhi ya mara kwa mara..... JOTA according to CIES kwa sasa ndio most valuable Liverpool player ila kibiashara bado hajafika levo za Salah.

Wafuatao waliongeza mikataba yao Juni 2021 .

*VVD aliongeza analipwa £220,00k kwa wiki. Mpaka 2025.

*Fabinho aliongeza analipwa £180,000 kwa wiki mpaka 2026.

*Alisson aliongeza analipwa £150,000k mpaka 2027

* Henderson aliongeza analipwa £150,000k mpaka 2025.

Kwenye kila team kuna top players kama na wanalipwa crazy figures. Salah kwa sasa yupo levo na hawa jamaa na pengine msimu huu uwanjani anawazidi. Mtazame Ronaldo na Messi above umri wa Salah lakini wana command hefty pay za ajabu sana.

Baadhi ya wachezaji wanaolipwa pesa kama pesa za kutisha na hawa hapa..

*KDB Manchester City 1,228,203,000tsh

*Ronaldo Manchester United 1,228,223,000tsh

*Messi PSG 3,064,725,000tsh kwa wiki, duniani namba 1 upande wa soka. Yaaani kwa wiki analipwa Bilioni 3 na ushee. Damn this magician.

* Lewandoski analipwa 1,117,179,000.tsh kwa wiki.

*Degea analipwa 1,196,338,000tsh kwa wiki

*Mbappe analipwa 1,309,724,000tsh kwa wiki..na Liverpool eti wamtaka 😂

* Neymar analipwa 1,934,504,000tsh kwa wiki ni muda mwingi ni mgonjwa.

* Gareth Barry analipwa 1,596,660,000tsh na hata hachezi.

* Surez babu analipwa 1,835,002,000tsh kwa wiki.

Nk nk nk


Wachezaji hao wengi wao ni serial winners wana deliver mwaka after mwaka.
wanakua wapo kibiashara na kimpira hivyo Salah kwetu ndio nguzo kuu kuvutia investors wa matangazo na washirika wa biashara hivyo huu mkataba wake apewe chap tumalize haya maneno.

Itakua grave mistake Salah kuodoka Liverpool kwa sababu tu FSG hawawezi kumlipa anachostahili kulipwa. Liverpool ina evolve sio tena kijiwe cha kutafuta soko mbali wachezaji wanakuja hapa kutimiza ndoto zao na hio ni pamoja na walipwe wanachostahili. Liverpool ina stable finance za kuweza kulipa huu mshahara wa Salah.

Kama FSG walitoka nje ya policy yao kumsajili Thiago basi na hili la Salah wafanye hivyo hivyo waweke policy pembeni wampe anachotaka.

Akina Sancho ambao hata robo ya Salah hawajafika wanalipwa 1,096,511,461tsh yaani Bilioni moja ya Kitanzania na ushee.

Lets appreciate Salah by paying him whats he deserve.

YNWA
 
milner ni kocha mchezaji mkuu, kama kina gigs enzi za babu fergie
 
Maana halisi ya timu, ukiwa sehemu ya ulinzi unazuia, ukiwa sehemu ya kiungo unaunganisha timu na ukiwa sehemu ya ushambuliaji Basi unafunga!
Yaaani jamaa yupo cool sana.

Huu usajili hata sijui hata kama akina Romano walitonywa aisee maana yaaani tulipigwa ile fainali na Real Madrid mara pap dogo Fabinho akatua kimya kimya.

YNWA
 
Na hili ndo tatizo kubwa kule Man u wachezaji wanategeana

Mishahara inamata sana kuharibu kama watapishana palefu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…