Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,449
- 32,877
Ila Klopp haya.Kikosi hiki hapa. View attachment 2118489
Bora acheze hii ya leo aikose Inter Milan Jumatano ππππππππππ.....Hendo nae sijui wanemuweka wa nini humo
Jota alipaswa kuanza hivi game. Jamaa hi goal getter mzuri na ameonyesha hilo dhahiri. Ila klopp mahaba aliyonayo kwa bobby mmmhh.
Sema huyu dogo anajua kupiga kona aiseeπ€πfirst goal.View attachment 2118593
Huyu hakutakiwa kuwekwa kabisaBora acheze hii ya leo aikose Inter Milan Jumatano ππππππππππ.....
YNWA
Umeona tumewatandika sasaππCome on burnely ,fanyeni maajabu kama mliyofanya pale kwa united ...
Hapana aisee. Kacheza vizuri. Angeanza na Jones au Thiago ange shine zaidi.tumeshinda ila poor perfomance, klopp aangalie mifumo yake vizuri, Keita bado ni project iliyofeli
Hahaha una ugomvi na Klopp wee mtoto pendwa sijui alimpigia pande apata hii kazi maana sio kwa mahaba yale...Huyu hakutakiwa kuwekwa kabisa
Huyu jamaa alikoroga ashikilie hukohukoπ€£Hahaha una ugomvi na Klopp wee mtoto pendwa sijui alimpigia pande apata hii kazi maana sio kwa mahaba yale...
Poor weather...
Poor team selection..
Careless 3 points back at Royal Albert dock city hio ndio habari ya mjini.
YNWA