Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nafasi ya nani atacheza au akija mtambadilisha namba?
Tuangalie na mwalimu tulie nae akimtoa staa akinuna anamuomba msamaha ningumu wengine kung'ara hawezi kurotet timu.

Huyo Elioti ni fowadi lakini anafosiwa acheze kiungo ni kuharbu viwango vya wachezaji.
Hivi Keita akae benchi kwa Eliot ni sawa?
 
Mmmh!! kuna kitu kinaenda kutokea soon.....☺☺
 
Mkuu tazama utajili wa vipaji alionao Pep pale Manchester City na pia tazama sasa Pep ameshinda EPL 3 kati ya makombe 8 alioshinda pale England na ukweli hajabahatisha ni kutokana na wachezaji waliopale kua ni kata mti panda mti, unatoa Sterling anaingia Mahrez, unatoa Jesus anaingia Foden, Grealish nk... Sasa tazama kwa Klopp unatoa Salah anaingia Ox come on @ Manga ML, unatoa Mane unaweka Taikumi na hapo unasaka ushindi sio kumaliza gemu, ukitaka kumpiku anaekuzidi lazima uwe bora zaidi yake na hapa hakuna kingine zaidi ya benchi lilosheheni vipaji ambazo wakipata nafasi wata deliver...

Sisi tuna EPL moja na hatuna the so called Mickey Trophies na wote tunajua ni kutokana na ukubwa wa kikosi. Unakumbuka vyema kuna wakati Henderson aliwai cheza RB na tukakosa pointi, Fabinho CB na pale kati tukapwaya ikawa vipigo kweli mpaka Burnley haha, hio yote inatokana na ufinyu wa kikosi kwa mwalimu.. Msimu huu tuna sare EPL around 5 sasa ndugu ukitazam hizo sare utaona kama ya Chelsea, Brentford, Brighton, Manchester City tulikosa benchi la kusaidia timu.

Kingine ndugu Salah, Mane, Firmino wanagonga miaka 30+ hivyo hata output itashuka ukumbuke Liverpool ma forward wanakimbiza mwanzo mwisho Klopp hata aongoze 5 atakua ana demand la 6 hivyo tunahitaji like for like sub ku sustain output uwanjani kwa mfano Jota n Firmino, Diaz na Mane, Salah na Bowen haha

Tazama impact ya Jota tangu atue wakati mwingine hua ni ngumu kumkumbuka Firmino kwa vile dogo Jota anatupa ushindi...

Jana tumeona Diaz dazzling boy atatupa nini kwenda mbele.

Kuna kipindi bila Salah, Mane, Firmino ilikua aidha sare ama tutabahatisha no wonder mpaka sasa tumezoea hatuna uwezo wa kua na vipaji zaidi ya wao pale mbele maana zile namba waliweka hati miliki pale Liverpool lakini angalau sasa tunaanza kuona mipango ya Klopp..

Furaha yangu ni kuona Bowen, Bissouma wanatua.

Kingine upo uwezekano Origi asipate mkataba na kuodoka hivyo tunahitaji kikosi kizdi kuimarika kupambana na wengine..

YNWA
 
Pep anauwezo wa kumuweka bechi yeyote pale Kloop anawezaa?
Usiwafananishe hawa.

Kwa nini Eliot kageuzwa kiungo na ni sahihi kumuweka benchi Keita acheze Eliot?

Sasa kwa anavyo ng'ara huyo Bowel atapangwa wapi au benchi?
 
View attachment 2116216

Damn kwa hio Jumapili itakua

THIAGO FABINHO HENDERSON

cha msingi tutoke ugenini na pointi 3 murwa kabisa.

YNWA
Naona kabisa Mane akianzia bench.
Elliot atampokea hendo no.

Nahisi Klopp currently atleast he is smiling inside with what he has now (health squad).
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…