Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Me namtaka huyo Bowen hapo,akitua anfield hapo wapinzani wataomba poo.
Nakwambia huyu Julian akianza Juni kununua akamleta huyu dogo Anfield aaa tutakua fire sanaaa...

Dogo ana mapafu ya paka mwanzo mwisho anakimbiza na pia msimu huu ameanza kujiamini zaidi awepo nafasi ya kufunga.

Tazama rekodi zake kwa ufupi

Akiwa Westham.


Akiwa Hull City


Hana majeruhi ya mara kwa mara hivyo ni quality addition muhimu sana.

Tazama pia mechi alizocheza si mchezo kama last season alicheza mechi 38 EPL. Msimu huu kashacheza mechi 24 EPl. Huyu sio wa kumuacha kabisa. Na umri sasa miaka 25 hivyo ile dhana ya kununua wachezaji wenye umri wa wastani itakua imezingatiwa.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…