Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Ngoja tuendelee kufukuzana na PepHahaha kumkimbiza Kipara hakunaga utani...
Nipo Mkuu.
Unaona Julian Ward kakuletea mhandsome mwingine Diaz..
YNWA
kwanini sasa anakukataza?
Anataka uangalie nini sasa?movie?
Mwambie mechi za liverpool awe tu anakuacha..kama hataki basi muonyeshe mechi moja jota na TAA wanavyofanya finishing ,katrent kanapiga kona,jota anamalizia.
Am sure hatakukataza tena.
Hahaha duuuh sawa ndugu huyo mambo ya Liverpool ni ngumu kayaelewa hakuna namna wee komaa kwenye simu ukipata mpenyo..Yeye Dunia Nzima anamjua mchezaji mpira mmoja tu anamwitaga Wakili Msomi (Morisson) 😂😂
Dhaifu kuliko timu lenu?Come on Leicester ..Hawa wetu Hawa..
Piga kuku hizi ..timu dhaifu Sana hii
Hahaha Matip wako naona namba kashaimiliki mazima sasa.... Julian anazidi kukuvuta zaidi kuwatazama ma HB wako wakifanya yaoo...Ngoja tuendelee kufukuzana na Pep
Nilikumiss kinoma mwamba.
Naona muhb mwingine amekuja,,,aisee liverpool tuna mahandsome jamani wakiongozwa na kachotara ka taa na matip wetu🥰
Yeah that his weakness aki sort hilo whats a baller he is...Jones hataki kubafilika huyu Dogo yupo too slow to release the ball .