Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tangia ubadilishe jina na wewe umekuwa mgeni humu [emoji3].

Dah! Hizi ndoa hizi zinachangamoto zake Wife ananifanyiaga Tafrani mechi za usiku zinazoanza saa 4 mpaka nimeacha kuangalia.

Hapa nilipo nimo ndani ya Net na Kasimu kangu napambana na App ya YACINE TV naibia tu kustream online wife kajikunjulia Shuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Aisee msajili wife ashabikie Liverpool haha ili angalau mkwede sawaaaaaπŸ™ˆπŸ™ˆ..

YNWA
 
kwanini sasa anakukataza?
Anataka uangalie nini sasa?movie?
Mwambie mechi za liverpool awe tu anakuacha..kama hataki basi muonyeshe mechi moja jota na TAA wanavyofanya finishing ,katrent kanapiga kona,jota anamalizia.
Am sure hatakukataza tena.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…