Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Arsenal wagumu kwenye usajili ila Liverpool kiboko, ilibidi klopp adanganye kuhusu Covid cases ili hierarchy ione umuhimu wa Squad depth.
 
Hapa kwenye ugumu wa kusajili ndiyo panafanya Pep aendelee kutuburuza EPL, Anyway naweza kuwa sipo sahihi kwani Chelsea na Manure wamemwaga Mihela lakini Maji wanaita Mma.
 
Pep is Pep, reliably system, quality & profile, japo mngepata quality Players all over the squad naona klopp angejaribu his goodluck.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…