Genius inategemea na mazingira... anaweza kua genius ila nyuma ya kipara.Jamani hivi huyu Klopp hajionea huruma...
Haya kazi kwake amkamate kipara na kikosi chake cha ku unga unga kama kweli yeye ni genius...
YNWA
Tafadhali mkuu,,watoe hao nyumbu hapo kwenye hiyo list ya top 5πππHawa washapoa hivi Kipara ndio kawaacha pointi 13 ujue hahaha ama kweli mambo yamebadilika.
Kipara ni bingwa mtarajiwa ni suala la muda mbio zitangwe upya ni 2 3 4..washindani wa hizo nafasi ni Liverpool, Chelsea, Arsenal, Tottenham, Manchester United nk.
YNWA
Helo hata blue yenu mlikuwa hamuioni..Tatizo ni majeruhi tulonayo na Corona pia, sisi tukiwa fulu mkoko hata mlima tunaamisha.
#CFCπππ
brentford anakusuburiHelo hata blue yenu mlikuwa hamuioni..
Mnaona mapichapicha kama yote[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu key pleyaz wetu wengi hawapo tofauti na shityee ambayo wamekamilika Kila idara. Ivyo tukubali Leo chama kubwa bingwa wa UEFA NA/AU EPL 21/22 CHELSEA FC imepata kipigo Cha kuunga unga .Sana sisi tungekuwa fully mkoko aise pep angetafuta pa kutokea.
#CFC[emoji170][emoji170]
Brento atakufa tatu bila...brentford anakusuburi
Kipara ni perfectionist yaani ana demand nidhamu, uvumilivu uwanjani hana papara, ukitazama walivyopata ushindi kwa Arsenal na Chelsea utaona hiki kikosi kimetulia mno wao wanacheza mpira wao wanajua tu watapata nafasi wana uvumilivu mpaka pale hali ikirushu hawa panic wala kusahau majukumu yao. Kwa vile ana kikosi kimesheheni vipaji basi anajua vijana watapambana kumaliiza kazi.. Hii ndio tofauti ya Kipara na Klopp.Genius inategemea na mazingira... anaweza kua genius ila nyuma ya kipara.
Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
Jana gemu yao na Aston Villa ilikua cracker aisee mechi kali sana... Bila ubora wa makipa Degea na Martinez upande wa Villa magoli yangekua mengi..Tafadhali mkuu,,watoe hao nyumbu hapo kwenye hiyo list ya top 5πππ
Umeshasajili forward?Brento atakufa tatu bila...
Firminho, Origi bila kumsahau mtu hatari diogo jotaaaaaaaa....Umeshasajili forward?
Firmino na Jota watoe maana walicheza utumbo game ya Arsenal.Firminho, Origi bila kumsahau mtu hatari diogo jotaaaaaaaa....
Sawabrentford anakusuburi
Wewe nafasi ya nne inakuita mama.Sawa
Ila umeona timu yenu ilivyo takataka?[emoji23][emoji23]
Hivi inamuita nani kama sio chelsea lililochakazwa janaππππWewe nafasi ya nne inakuita mama.
We tulia hapo... mpaka mwezi wa pili unafika utakuwa unaitafuta nafasi ya 5.Hivi inamuita nani kama sio chelsea lililochakazwa jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi kipigo cha jana mkuu?πWe tulia hapo... mpaka mwezi wa pili unafika utakuwa unaitafuta nafasi ya 5.
Wewe juzi umeenyeshwa na arse8 hii man shityee ambayo wamekamilika Kila idara ndo utaiweza kweli? Sisi Chelsea mabingwa tukiwa full mkoko Kuna takataka yeyote inaeza pata point mbelle yetu?!Huyu jamaa sijui yuko wapi aiseee
Ngoja nimwite.
OllaChuga Oc umeona litakataka lako la kuitwa Chelsea?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kawaida tu... Bora kufungwa na City kuliko kutoa sare na arsenal wapo 10.Vipi kipigo cha jana mkuu?[emoji23]