Loading haha Bowen weka mpunga £20m wape na Origi maliza hii maneno chap...
Huyu dogo ni workaholic yaani ni mchezaji atakaefaa mfumo wa Liverpool chini ya Klopp bado umri wake safiii..
YNWA
Anakaulia yake ninyi ni takataka dah.!!Huyu jamaa sijui yuko wapi aiseee
Ngoja nimwite.
OllaChuga Oc umeona litakataka lako la kuitwa Chelsea?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
amewataja kina ox curtis harvey yupo njian hivyo no signing... hahahMtegemee kusikia Klopp akisema ni usajili mpya huu Hahaha....
YNWA
Mkuu key pleyaz wetu wengi hawapo tofauti na shityee ambayo wamekamilika Kila idara. Ivyo tukubali Leo chama kubwa bingwa wa UEFA NA/AU EPL 21/22 CHELSEA FC imepata kipigo Cha kuunga unga .Sana sisi tungekuwa fully mkoko aise pep angetafuta pa kutokea.Ollachuga Oc bure kabisa nani haogopi Chelsea sasa umejibiwa na Kipara..
YNWA
Umeona kipara alivyochakaza matakataka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu key pleyaz wetu wengi hawapo tofauti na shityee ambayo wamekamilika Kila idara. Ivyo tukubali Leo chama kubwa bingwa wa UEFA NA/AU EPL 21/22 CHELSEA FC imepata kipigo Cha kuunga unga .Sana sisi tungekuwa fully mkoko aise pep angetafuta pa kutokea.
#CFC[emoji170][emoji170]
Tatizo ni majeruhi tulonayo na Corona pia, sisi tukiwa fulu mkoko hata mlima tunaamisha.Anakaulia yake ninyi ni takataka dah.!!
Watajuta kumfua pep kule Uefa home and away plus league game.
Pep amewafanyia home work ya kutosha anawatesa sana
Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
Kumbe ukiwa pungufu inaruhusiwa upigwe ila sie tukiwa pungufu tukifungwo ama sare inakua maneno...Mkuu key pleyaz wetu wengi hawapo tofauti na shityee ambayo wamekamilika Kila idara. Ivyo tukubali Leo chama kubwa bingwa wa UEFA NA/AU EPL 21/22 CHELSEA FC imepata kipigo Cha kuunga unga .Sana sisi tungekuwa fully mkoko aise pep angetafuta pa kutokea.
#CFC💙💙
Jamani hivi huyu Klopp hajionea huruma...amewataja kina ox curtis harvey yupo njian hivyo no signing... hahah
Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
Hapa inabidi Edwards afanye kama kwa Jota aidha awape Origi na ela ama Phillips na ela ama wote wawili na ela kwa vile sasa FSG kutoa ela hii hawatoi mpaka pale mchezaji atauzwa...Huyu me ndio namkubali,anauweza sana dogo.£20m hawezi kukubali hapo ndio wasiwasi wangu.
Hahaha huyu hapa nyumbani hawezi kusepa mazima..Huyu jamaa sijui yuko wapi aiseee
Ngoja nimwite.
OllaChuga Oc umeona litakataka lako la kuitwa Chelsea?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aje azoe hii mitakataka yake michelsea😂😂😂😂😂😂Hahaha huyu hapa nyumbani hawezi kusepa mazima..
YNWA
Klopp the comedian.[emoji3] kabisa mkuu.
Hawa washapoa hivi Kipara ndio kawaacha pointi 13 ujue hahaha ama kweli mambo yamebadilika.Aje azoe hii mitakataka yake michelsea😂😂😂😂😂😂
Hivi ndio mwenye avatar ya kiduku amaYule jamaa mwenye jina kama namba ya simu yuko wapi??🤣🤣😂😂
Leo nawaita wote wazoe takataka lao la kuitwa chelsea
42774277 njoo huku unaitwa.Yule jamaa mwenye jina kama namba ya simu yuko wapi??🤣🤣😂😂
Leo nawaita wote wazoe takataka lao la kuitwa chelsea
Huyohuyo.Hivi ndio mwenye avatar ya kiduku ama
YNWA