Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool ya sasa hivi hata tunaongoza 2-0 , dakika ya 60 bado tunakua na wasiwasi wa kusawazishiwa magoli
Hii tim hovyo sana, unafikiri chelsea wangetupiga zile goli mbili tungezirudisha? Yaani Liverpool tangu hapo ilianza kunikera na hata mechi sikuizi siangalii.
 
humwambii kitu klop kuhusu hii mid,
We are doomed nikianglia MF washindani wetu pale kati walivyosheheni wanaojua nakosa kabisa imani na hii klabu yaaani...

Msishangae Milner akaongezewa mkataba huku Mane na Salah wakipigwa saudi mpaka atokee mteja...

Aibu mpaka sasa hawa Wanyamwezi ambao hawaumii mara kwa mara lakini ndio hata dalili za mikataba yao haipo..

YNWA
 
Hii tim hovyo sana, unafikiri chelsea wangetupiga zile goli mbili tungezirudisha? Yaani Liverpool tangu hapo ilianza kunikera na hata mechi sikuizi siangalii.
Susa susa susa, unamtishia nani?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…