Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Shukuruni wachezaji wetu wa kati hawapo.Now you are talking... Shukuruni Mungu Lukaku ana mgogoro na Kocha, Otherwise.... Leo mngekufa vibaya sana.
Timu yenu haina maajabu. Muache kutusubumbua.
We subiri next time nakubeba.Nilijua tu hawawezi kushinda[emoji1]
Naondokaje na mtu anashabikia timu boovu.
Umbebe nani!,kwanza kipara atajipigia hili timu na mkija nyumbani tunawachakaza.We subiri next time nakubeba.
We hujaangalia mpira yaani match inaanza tu, Pulisic kakosa goal la wazi yeye tu na kipa.Mmalizie wapi
Kamshukuruni yule kaka.
Timu yako ya kawaida mzee. Sijui hata unapata wapi jeuri wakati forward line yako inaenda AFCON.Mkuu namaanisha round ya kwanza imeishaje yaani Baada ya mechi 19 , ligi inamechi 38.
Wanasema atakae ongoza ligi Christmas Ndio bingwa , Christmas inakuwaga kila mtu amecheza Mechi 19 ndio tafsiri yangu.
Mkuu Hautanielewa saizi Maana unaongoza ligi Saizi nitakuambia nini?[emoji3].
Muda Ndio utaamua maana hata chelsea niliwaambia hawakunielewa Saizi akili imewakaa sawa.
Unapigwa goal mbili ndani ya dakika 4 kwa forward line ile ya chelsea?Nyie ndio wabovu zaidi kwa kushindwa kukifunga kikosi kibovu.
Mna mchezaji gani wa maana wa kati.Shukuruni wachezaji wetu wa kati hawapo.
Ningekunyoa hiyo pank yako wewe kiduku.
Wewe subiri ukutane hata na Arsenal tu akuoneshe show.Umbebe nani!,kwanza kipara atajipigia hili timu na mkija nyumbani tunawachakaza.
Duh waliondoka jana ileile?