Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Badala ya kununa inabidi kucheka aisee yaaani ugenini unaanza na Henderson na Milner seriously...WORST MIDFIELDER PERFORMANCE
MIDFIELDER can't complete a pass,
Losses possession
OX as a false 9????Badala ya kununa inabidi kucheka aisee yaaani ugenini unaanza na Henderson na Milner seriously...
Ki ufupi Milner, Keita, Henderson ni utopolo..
Hahaha Jota out khaaa...
Kipara bye bye.
YNWA
Sijui how they guys make this awful decisions yaaani unatoa goal threat kwenye timu especially mipira ya kichwa like serious yaaan...OX as a false 9????
Shocking
2022 bombastic level EPL..
Aiseee kwamba hatuna uwezo wa kuua mechi namna hii hatari sana.
Jones ama Ox kwa kutembea na mpira ni wazuri sijui Milner 36yrs wa nini ugenini.
Katoa faulo ya kijinga sana.
Ollachuga Oc momentum kwako sasa.
YNWA
Katikati ndio pabovu halafu anamtoa JotaSijui how they guys make this awful decisions yaaani unatoa goal threat kwenye timu especially mipira ya kichwa like serious yaaan...
Leo Chelsea washindwe wao kuchukua pointi 3 kwetu maana sio kwa huu utopolo wa wa kikosi...
YNWA
Chelsea mkitoka salama mkamshukuru keeper wenu sana.
Ana uwezo mkubwa huyo jamaaHakika. Ile shuti ya Salaah na mane duu[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Hivi huyu Henderson Uingereza wake una nguvu kiasi gani ama Klopp hua anabeti hahaha...Katikati ndio pabovu halafu anamtoa Jota
Nahisi wamekula makandeWachezaji wetu sijui hata wanachokifanya
Nashukuru mkuuu huo ndio mpira tunautakakuna wakati lazim ukubali tu kama kitu kzr nawenzako nafanya vzr kubali asa te mkuuuDuuh huyu Medy sio kipa wa kawaida..
I knew the dude is good but man this top..
Hahaha Senegal vs Senegal
YNWA
Wamenikera kweli yaani.Nahisi wamekula makande
Midfielder zetu zimezingua sana aisee, pumbavu sana covid imesababisha yote haya.Wamenikera kweli yaani.
Yaani ndani ya dakika chache tu wamerudisha mabao mawili.
Ujinga huu.
Mimi kiungo ambaye hawezi kupunguza hata mtu mmoja huwa simkubali, ndio Henderson na milner.Hivi huyu Henderson Uingereza wake una nguvu kiasi gani ama Klopp hua anabeti hahaha...
Milner almost 36 wa nini kama leo...
Henderson hua headless chicken..
Chelsea bila proven forward wametoka kifua mbele..
YNWA
Kama hawapo vileMidfielder zetu zimezingua sana aisee, pumbavu sana covid imesababisha yote haya.
Chelsea wamezembea tu kutufungaHakuna mbabe kati ya Liver na Chelsea
Mimi nilikuwa najiuliza sana hizi midfielder zilizo kuwepo leo ndio mpango wa Klopp kabla ya covid? Hivi kwa game ngum kama ya leo unamuweka Milner!Mimi kiungo ambaye hawezi kupunguza hata mtu mmoja huwa simkubali, ndio Henderson na milner.
Kocha anajua Chelsea huwa wanajaza viungo kati yeye anawawekea milner na henderson