Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uzuri wa EPL hua ina matokeo usiyotegemea kuna kipindi huyu huyu kipara alichakazwa na Norwich kama utani vile...

Umesema vyema haijalishi matokeo yako na Kipara kama Liverpool ataedelea kutoa sare ama kufungwo na wengine inakua basi matokeo yako kwetu hayana umuhimu wowote. Upande wa pili ni kwamba mkimpiga Kipara kwetu inatupa kuamini kumbe huyu bwana anaweza kuzuiwa na itawapa vijana motisha kupambana.

Cha msingi ni kila mmoja ashinde mechi zake huku ramli kuwaombea vipigo Manchester City.

Epl lolote linawezekan...

YNWA
 
Kumbuka 2018/19 mlitegemea ramli hivyo hivyo na mkafukuzana na city kwa point moja toka February hadi mei na City akabeba ubingwa kwa point moja 98/97
 
Mtihani sasa ni kwamba hata sisi magoli hayaji ndugu hapo ni pambaya kwa wote maana kama ni second round blues naona hata sisi zimeanza maana zile kosa kosa za mechi ya Leicester ilikua sio mchezo mkuu...

Hapa cha kwanza ni kuhakikisha hata ushindi wa goli 1 tukiupata ulindwe kwa nguvu zote lazima MFs wetu wajiongeze tunawahitaji sana kwenye ubora kuweza kutoka salama raundi hii ya pili. Tunacheza so many useless sloppy passes ambazo zimetuumiza. Defence yetu hua ni highline hivyo nidhamu pale tunavyomiliki mpira lazima iwe top class tofauti na sasa bila Fabinho, on form Thiago basi tunacheza kwa kubahatisha..

YNWA
 
Kumbuka 2018/19 mlitegemea ramli hivyo hivyo na mkafukuzana na city kwa point moja toka February hadi mei na City akabeba ubingwa kwa point moja 98/97
Duuh tulitoa sare Leicester Klopp akasema upepo, Westham Klopp akasema sijui barafu haha, Manchester United akiwa hoiii na majeruhi hizo sare tukampa kipara mpenyo na hakurudi nyuma aisee mpaka mechi yao Leicester tukiamini wanastopishwa akapiga shuti moja matata sana Kompany wakashinda ile gemu tangu pale nilijua hatuna chetu..

YNWA
 
Yaaani nyia ndo wa kuongea hivi, sisi city bingwa msimu huu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…