Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Halijaizidi manchester united
Wale ni zaidi ya nyumbu.
Wa kunisumbua hapa ni city tu!
Wengine wote kapambaneni na mitimu yenu mibovu.
Lukaku kaikataa huko Chelsea ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anataka kurudi inter Milan ....
Vip mchukueni [emoji23][emoji23][emoji23]
Game ya kesho kutwa ninamashaka nayo sana, kumtegemea alonso na azp kesho kutwa ni kazi sana,Kwenu, tukiwa pungufu tuliwabana mbavu huo ujasiri wa kusema mtaifunga Chelsea mnaitoa wapi wakati Leicester city wachovu wa kutupwa wamewatungua!!!
Klopp : "We have three more COVID cases in the team and more in the staff. I'm not able to say who it is but it'll be pretty clear on the teamsheet the day after tomorrow." #awlive [lfc]
YNWAWanabodi nichukue fursa hii kuwa wish mwaka mpya 2022 wenye heri na neema.
Nafarijika sana kua mmoja wa familia ya Liverpool hapa JF hakika mwaka 2021 umekua ni matokeo mchanganyiko kimatokeo kwani tulianza mwaka kwa kususua sana kutokana na majeruhi na wachezaji kuchuja kiwango lakini baadae Klopp alipambana kupata jawabu na tukamaliza ndani ya big 4 2021.
Mwaka umeisha tukiwa pazuri japo sasa kwa mbali ni kama upepo umekata zile kosa kosa pale mbele zimerudi kwa kasi ya 5G bila shaka nina imani na Klopp na jopo lake kupata majibu vijana warejee kwenye ubora kwani kumkimbiza Kipara Pep hua hakuna kulegeza kamba.
Kwa namna ya pekee tuzidi kushikamana tuzidi kuwaombea mafanikio vijana wetu na sisi tutembee kifua mbele.
Ubingwa wa EPL kwa ufupi upo kwa kipara asilimia [emoji817] na sioni akiuachilia. Pazuri ni kwamba kuna Champions League, kuna Carabao na kuna FA hivyo tuna nafasi bado ya kupata angalau kombe lolote hapo.
View attachment 2064383
Tupo pamoja sana.
New year new hopes we are Liverpool we never give up.
YNWA
YNWA MadamYNWA
Mungu atuvushe salama na atujaalie mwaka ujao uwe na neema kwa kila mmoja wetu.
Baraka za Mungu ziwe na kila mmoja wetu na ulinzi wa Mungu ukaambatane na kila mtu .
Bwana akubarikieni na kuwalinda
Bwana awaangazie nuru za uso wake na kuwafadhili
Bwana awainulie uso wake na kuwapa Amani.
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
#LFC
Mungu mbariki Klopp
Mungu wabariki wachezaji na mashabiki
Mungu ibariki Liverpool.
Amen. Amen. Amen.YNWA
Mungu atuvushe salama na atujaalie mwaka ujao uwe na neema kwa kila mmoja wetu.
Baraka za Mungu ziwe na kila mmoja wetu na ulinzi wa Mungu ukaambatane na kila mtu .
Bwana akubarikieni na kuwalinda
Bwana awaangazie nuru za uso wake na kuwafadhili
Bwana awainulie uso wake na kuwapa Amani.
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
#LFC
Mungu mbariki Klopp
Mungu wabariki wachezaji na mashabiki
Mungu ibariki Liverpool.
Amen[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Amen. Amen. Amen.
Tumeuona hakika tumebarikiwa.
YNWA
[emoji122][emoji122][emoji120]YNWA Madam
Jones should start getting a nod ahead of Mane. He needs a rest i think. We shouldn't be blaming him, mind you he's been performing at high levels for the past 3 to 4 seasons.
They are also human beings, they tire and they dip in form sometimes.