Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,606
- 235,491
Hivi mfano tukakutoa utasemaje?Huu msimu umeshaisha ....
Jipange next season ,harafu hao kina mane ,salah ,firmino sio machine kwamba zitaweza kucheza na kiscore epl ,uefa ,fa ,carabao cup [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
The wide squid win league ,
Mkuu tuendelee na ndotoNaked truth.
Squad depth is the key.
Different players same output ndio strength ya Kipara.
YNWA
Man city tutapoteza game ,ila Liverpool itapoteza zaidi game ...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hivi mfano tukakutoa utasemaje?
Sasa subiri uoneMan city tutapoteza game ,ila Liverpool itapoteza zaidi game ...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
sio hivyo tu mkuu, Hizo penati anazosema apo jana huyo kocha wao mwenyewe AMEZILILIA WALIVYO NA HALI TETEH!!!...NA MBAYA ZAIDI JAMAA KWENYE MECHI 8 ZA MWISHO WAMEPEWA PENATI 6 ILA HAONI HILO BOYA HUYO.We timu lenu jana limedraw tena halafu unategemea mtufunge sisi!..chelsea ni takataka kabisa[emoji1787]
Hii Liverpool unaenda kuikataa soon ,kwanza wachezaji wenu wameshachoka mno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanatumika SanaSisi ndio chelsea bhana [emoji23][emoji23][emoji23], nani haiogopi chelsea? Lilisikika levi moja likiongea [emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125].
Always liverpool huwa hatuna kelele wala majivuno hata kama tukipoteza tupo kimyaaaaaa, sasa hz takataka na shabiki mmoja wa manshit kila siku kelele. Kwanza unakuaje shabiki usie na wafuasi? Fungua uzi wako uwe una coment nakuji reply mwenyewe [emoji1787][emoji1787].
Kupoteza kwetu nikawaida na mpira ndivyo wala hatukati tamaa na tunasonga mdogo mdogo.
HERE WE GO.
Binafsi huwa namuheshim sana klopp Based na alipoitoa liver kipindi cha miaka 5 iliyopita na huwa hanaga tambo za kijinga kama tuchelewe "MZEE WA KUUNDA TIMU YA KUOGOPWA KUCHEZA NAYO".Sisi ndio chelsea bhana [emoji23][emoji23][emoji23], nani haiogopi chelsea? Lilisikika levi moja likiongea [emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125].
Always liverpool huwa hatuna kelele wala majivuno hata kama tukipoteza tupo kimyaaaaaa, sasa hz takataka na shabiki mmoja wa manshit kila siku kelele. Kwanza unakuaje shabiki usie na wafuasi? Fungua uzi wako uwe una coment nakuji reply mwenyewe [emoji1787][emoji1787].
Kupoteza kwetu nikawaida na mpira ndivyo wala hatukati tamaa na tunasonga mdogo mdogo.
HERE WE GO.
Mkuu kwanza wewe huoni licha ya kuwa vijana wamechoka lakini wanapambana? Klopp huwa anatengeneza team bhana hata kama wachezaji ni wachache lakini watapambana kulingana na wanavyo weza , najua hatuna kikosi kipana ila na nyinyi mnauona moto wetu. Alafu tutolee kelele hum kafungue uzi wa Man city huko, huu uzi nikwaajili ya Liverpool tu we kibaka unatafuta nini huku?Hii Liverpool unaenda kuikataa soon ,kwanza wachezaji wenu wameshachoka mno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanatumika Sana
Mimi kibaka nakutafuta wewe kuku nikumange ..!Mkuu kwanza wewe huoni licha ya kuwa vijana wamechoka lakini wanapambana? Klopp huwa anatengeneza team bhana hata kama wachezaji ni wachache lakini watapambana kulingana na wanavyo weza , najua hatuna kikosi kipana ila na nyinyi mnauona moto wetu. Alafu tutolee kelele hum kafungue uzi wa Man city huko, huu uzi nikwaajili ya Liverpool tu we kibaka unatafuta nini huku?
[emoji8]YNWA [emoji3590]
😂😂😂😂😂😂...Mkuu tuendelee na ndoto
Angalau wapiga kelele wameondoka sasa.
Baba laoo😂😂😂😂😂😂...
Liverpool baba lao.
YNWA
Kwani nyie mlimfunga BrightonWe timu lenu jana limedraw tena halafu unategemea mtufunge sisi!..chelsea ni takataka kabisa[emoji1787]
We timu lenu jana limedraw tena halafu unategemea mtufunge sisi!..chelsea ni takataka kabisa[emoji1787]
Timu booovuWe hao Brighton uliwafunga? Nyie si ndio mliwaongoza mpka goli mbili bila kisha wakachomoa zote alafu wakaongeza la 3 VAR ikakataa.
Boovu timu lakoKwenu, tukiwa pungufu tuliwabana mbavu huo ujasiri wa kusema mtaifunga Chelsea mnaitoa wapi wakati Leicester city wachovu wa kutupwa wamewatungua!!!
Timu booovu
Halijaizidi manchester unitedNaam ni kweli kabisa timu lako nilibovuuu haswaaaa, Kwan ulikuwa hujui?