Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha labda watuletee Dusan Halland au Mbappe au Vincious unaweza ukawaelewa eti..

Daraja la pili eti ni Raphinah, Bowen au Traore.

Daraja la tatu ni Coutinho πŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒ

Dreams za kumaliza mwaka.

YNWA
Wamuache kabisa Mane aiseee.
Hivi hao wazungu wana page zao kwenye mtandao gani?
Nikawachambe aisee🀣
 
Jana wote wamezingua.
Hakuna cha Matip,Trent wala nani...
Walipoteana wote.
 
Wanangu Liverkuku kwani hatukupewa penati jamani? Huyu Leicester si alibamizwa tatu kavu na Chelsea?! Yani sisi ndio uwezo wetu ulipoishia je Chelsea tutaweza kumfunga kweli..??
 
Huyu mane anaruka ruka tu keshakuwa takataka ..salah ukimkamata ushaikamata hili genge la kuku ..sasa kama salah ndio jogoo pekee yeye ndio anayewika mengine yote matetea tu hahahahahahah
 
Wewe kunguni pale juu huna maisha ..subiri tumywe supu huyu kuku halafu tuwageukie na nyie mabishoo
Nani haogopi Chelsea Hahaha kawauliza Westham au Brighton uone utakavyo toka duki...

Kila timu ipambane kivyake hatutaki kelele...

Oooh mpaka gemu ya Brighton tunapata pointi 3 sasa lipo wapi... Hii ndio EPL haina matokeo ya mfukoni.

Kama kweli unauhitaji ubingwa mshushe kipara pale alipo aafu ndio uje hapa kutupigia kelele zako..

Bill Shankly alisema wa kwanza ni kwanza wa pili hamn ishu na kweli maana wa pili wala hapati kombe..

YNWA
 
Mwanzo walisema wao ni timu ya Dunia na wanaitaka Epl, sasaiv stress zao wameamishia kwa liverpool...ahahahaaa
 
We jamaa siku tukikaa pale juu ntakunyanyasa sana popote nitakapokuona.
Huu msimu umeshaisha ....

Jipange next season ,harafu hao kina mane ,salah ,firmino sio machine kwamba zitaweza kucheza na kiscore epl ,uefa ,fa ,carabao cup [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]


The wide squid win league ,
 
Kwanza mane umeme umekata ...


Salah anatamani kiscore lakin ndio hivo mwili ushakuwa mzito ,game nyingi kila kitu yeye ..soon mnaenda kupoteana ...

Unaijua January -february wachezaji wanavochoka kutokana na mlundikano wa game nying back to back ...keeep watching [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huu msimu umeshaisha ....

Jipange next season ,harafu hao kina mane ,salah ,firmino sio machine kwamba zitaweza kucheza na kiscore epl ,uefa ,fa ,carabao cup [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]


The wide squid win league ,
Naked truth.

Squad depth is the key.

Different players same output ndio strength ya Kipara.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…