Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,471
- 32,922
ππππTupo sana na Kipara mpaka Mei 2022 lazima mbabe ajulikane aisee yaaani...Naomba niweke msisitizo kwenye paragraph ya mwisoπ π
Mkuu Ladder 49 naomba upite hapa
Haha Gomez amepona na leo umemuona pengine Klopp anaona hana full match fitness ndio maana anaanza benchi...Mkuu usihofu sana tunaishi mara moja tu acha vifanyio vigusane π
Kwa kweli nimekosa game kali, mimi naona FSG Hawa ndio wanatukost sana hawataki kusajiri wanategemea miujiza kila Mara wanamuona klop kama yesu.
Mwenzao kipara kule anapewa kila anachotaka Ila hawa wa huku kwetu hawana tofauti na mudi wa simba,
Wanaingiza faida na kutoa pesa irudishe faida hawataki matokeo yake ndio kama hivi, key players wakikosekana tuna struggle sana,
Naona klop angeondoka atuachie team hili maana inakoelekea atajiharibia cv sababu ya mabosi wachaga wa marekani.
Hivi Gomez alipona kumbe? Jamaa akichezaga kati huwa anatisha sana shida yake inategemea na atakavyoamka siku hiyo.
Ila i prefer Gomez na matip kuliko kounate mkuu.
Hahaha hili ndugu ndio plain naked truth...Guardiola huwa ana overthink kupitiliza kwenye hizo knock outs.
Ile fainali na Chelsea, hana mtu wa kumlaumu!!
Yani umetoka kumtoa PSG with a very dominant performance..... WTF was he thinking kubadilisha set up.
Ata kipindi anatolewa na Lyon, ni overthinking zilimfikisha kulee
Boss umesahau kilichotokea msimu uliopita kwa sababu squad depth??
Injuries, Covid, Afcon.....
Tusubiri, muda haujawahi kudanganya