Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah! Sema tu Liverpool huwa hatupo serious unaweza shangaa tim nyingine inamchukua alafu sisi tunaishia kubung'aa
 
Benitez tangu amuuze Alonso mpaka leo kila timu lazima afukuzwe tu hawezi kukakaa muda mrefu,me nasemaga laana yakumuuza Alonso bado inamuandama maana Baada ya hapo hajawahi kuwa kocha Bora tena.
 
Benitez tangu amuuze Alonso mpaka leo kila timu lazima afukuzwe tu hawezi kukakaa muda mrefu,me nasemaga laana yakumuuza Alonso bado inamuandama maana Baada ya hapo hajawahi kuwa kocha Bora tena.
Duuh Legend Rafael ana hali mbaya sana karidhi matatizo makubwa sana pale Everton na pia majeruhi waliopo kwake nako pigo aisee... Walianza vizuri sana huu msimu sasa gemu ya 8 bila ushindi aisee ndio maana sasa mashabiki wanamzomea aisee.

Upo uwezekano wakamtoa kafara.

Hahaha hili la Alonso kama kweli basi kwa vile wote ni Wahispania wamalizane wenyewe....

YNWA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…