King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Soon watakwambia Reece James,maana ndio anaongoza kwa mogoli mengi kwenye timu yao ana magoli 4,Sio lukaku tena lukaku kabla ya kuumia alicheza mechi 6 bila kufunga goli lolote mashindano yote sana karudi wamesahau walipoishia.
provided tuwe labda tunaongoza na City tumewaacha kama point 7 hiviMe Baada ya game 19 tu nafasi tutakayokuwa ndio tutakayo maliza nayo hiyo.haiwezi kubadilika.tukiwa namba namba moja basi natangaza ubingwa rasmi.
Kinacho wasumbua Liverpool ni ubinafasi,mnajiona kuwa nyinyi tu ndo timu bora timu zingine haziwezi kuwa bora wala hazistahili kufanikiwa kama nyinyi,acheni wivu wenu wakike.Hao ni swala la muda tu wataanza kuelewa kuwa wao ni wakawaida sana,huko tunapoendea ndio wataanza kujiona,maana wanakuwaga wabishi sana.
Timu yao hakuna mchezaji wakututisha Kabisa pale yaani twende uwanjani tuogope kama vile akiwa messi uwanjani.
Na wasiwasi hata kwenye klabu bingwa dunia wataenda kutia Aibu hawa kama walivyotiaga Aibu.
Kumbe ka moyo kana wadunda.
Kila mtu ashinde mechi zake.hiyo game nitaenda kuiangalia nione mbinu za SG8.
Roho mbaya km nini....liverkuku nyingine ikasema Chelsea hawana world-class player[emoji23]. .Hz jamaa zina husdaKinacho wasumbua Liverpool ni ubinafasi,mnajiona kuwa nyinyi tu ndo timu bora timu zingine haziwezi kuwa bora wala hazistahili kufanikiwa kama nyinyi,acheni wivu wenu wakike.
Highlight zake zote ni goli za penati[emoji16][emoji16][emoji16]Rent Boys bhana! Eti Joginho for Ballon D'or [emoji23]
Pumbav
Kaja january, yani nusu msimu afu Gigi ana euro ulikua utani kabisa huuMendy for Kipa Bora [emoji23]
Shenzi sana
Kinacho wasumbua Liverpool ni ubinafasi,mnajiona kuwa nyinyi tu ndo timu bora timu zingine haziwezi kuwa bora wala hazistahili kufanikiwa kama nyinyi,acheni wivu wenu wakike.
Bring facts. Stop crying mtoto wa kiume weweKinacho wasumbua Liverpool ni ubinafasi,mnajiona kuwa nyinyi tu ndo timu bora timu zingine haziwezi kuwa bora wala hazistahili kufanikiwa kama nyinyi,acheni wivu wenu wakike.
Salah hata achujue PL,CL , egpty ichukue world cup , awe top score epl ,top score CL na top score world cup .......