Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Humu siku hizi hatuoni uchambuzi kwanini timu inacheza inavyocheza naona wanasifiwa wachezaji tu, leteni analysis how Liverpool inadominate timu nyingi, why liverpool have been so clinical this season, au wengi ni average fans?
 
Asante kwa taarifa.

J5 nitaweka ratiba zangu vizuri ili nisikose kuangalia.
Japo machi za ugenini huwa zinaniogopesha somehow.
Mechi saa tano usiku hivyo una muda wa kutosha kuitazama ukishaweka ratiba vizuri...

Liverpool ili tushinde lazima bila kukosa pale kati wawe vyema iwe ugenini ama nyumbani na niseme ukweli kabisa combination ya Fabinho na Thiago ni level zingine kabisa kwa hizi mechi walizocheza pamoja ki ufupi sijaona uzembe uliopitiliza wapo hivi, wanaleta yafautao kwenye timu..
Compact
Position awareness
Balance
Reliable
Freedom kwa LB na RB kua dynamic
control move acceleration
Threat out side box umeona Thiago ana magoli mawili meaning more confidence

Everton have lost the edge majeruhi, loss of form japo derby kama derby hua ni maadalizi ku exploit weakness za opponent hivyo nina imani na vijana mechi hii tuta toka salama.

YNWA
 
Klopp is the determine factor ya all what we are period.. This man is a genius. Everything that this man touches turns to gold.

Ipo hivi...

Liverpool keep on evolving as other teams get better we become stronger under Klopp he keep focus on the most important details and thus we keep winning when are on song...

Klopp demands..


Msimu huu Klopp and the boys are evolving kwa mfano TAA zamani alikua ana operate mostly on the ranks upande wa kulia lakini sasa amekua so involved mpaka ndani ya uwanja kwa mita kadhaa hii imepelekea mpaka baadhi ya wadau kusema acheze MF.

@ Will Jr kwa kupata ushindi mechi za hivi karibuni ni kwamba wachezaji wengi wanapona Thiago, Fabinho na wengine kiwango kinarejea juu tazama Jota, Mane, VVD. Hao wote ni senior players wenye tactical knowledge how to execute Klopp plans.

YNWA
 
Haya waliotaka tathmini ya timu washindwe wao sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…