Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kabisa, hata Mane msimu jana alikua na kiwango kisichoridhisha lakini alikomaa nae hakumtupa, hii ndio sababu nafikiri wachezaji wetu wanampambania sana uwanjani sababu na yeye hawatupi hata waki perform below par klopp will be in their corner to defend them. Hata kwenye usajili nahisi ni hivyo hivyo hapendi kikosi kipana maana hawezi ku rotate huyu mzee.
 
Yeah rotation kwake ni ishu kubwa uzuri anajua kuwaambia the right words wanaocheza na wanaosugua benchi maana mara chache usome kwa media wakilalamika kutopata dakika akina Origi, Tsimikas nk wapo na utulivu kusubiri nafasi....

Kwa Klopp ukishakua senior player basi ujue namba unayo ya uhakika regardless ya ubora wake uwanjani kwa mfano Firmino, Mane last season muda mwingi sana walikua below expected standards lakini wala aidha kwa kukosa benchi la nguvu ama Klopp kua super loyal kwao walipata dakika za kutosha kabisaaa mpaka Taikumi akoana isiwe shinda akatimka St Mary's kwa mkopo...

Nionavyo hapa shinda ni FSG kua na bajeti finyu ya wages na kununua wachezaji maana sidhani kuna kocha atakumbali haya mambo anayakutana nayo Klopp..

YNWA
 
The Saints tunakuja kuondoa mapepo Anfield. Tunaomba mkae kwa kutulia.
 
Liverpool wameshinda mechi 7 kati ya 8 walizokutana na So’ton.

So’ton ni moja kati ya timu zenye rekodi mbaya ugenini.

Liverpool wamepata ushindi kwa bila katika mechi zao 4 za mwisho nyumbani dhidi ya So’ton wakishinda jumla ya mabao 12.

Sadio Mane ameshinda magoli 5 katika mechi 6 walizokutana Anfield.

Utabiri: Liverpool 2-0 So’ton
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…