This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,191
- 5,433
acha kabsa mkuu. Unakuta mtu mzima eti ni fan wa Utopolo na Arsenal. Sasa kwann wagonjwa wa kisukari wasiongezeke nchini.Weekend Murua Kabisaa.
Uku Simba Yangu Uku Liverpool Yangu.
Thanks Allah.
Mkuu haya matokeo ya leo?
Niko mbali na kioo ndo maana sina matokeo.
Mikel atakuja kua bonge la kocha ila kwa sasa awaheshimu wanaojua kwa kweli...Hello kops
Mimi binafsi nimeona niwe najitokeza kwenye ushindi mnono tu kwenye kichapo hamnioni bora nikanywe zangu stress ziishe ila kwa jana
Huyu Arleta ni kama alimpa hasira zaidi klopp..
Na kale kajamaa cha arsenal beki 3 kalichodai katamkaba MO nikaona kalichomesha 😀😀😀
Mambo ni vipi brothers?
Kama asingejifanya kichwa ngumu huenda ingeisha hata draw ile ile.Mikel atakuja kua bonge la kocha ila kwa sasa awaheshimu wanaojua kwa kweli...
Klopp, Thomas, Pep ni level zingine hivyo asitake kutupanda kichwani tena nyumbani...
YNWA
Ile inaitwa blessing in disguise maana baada ya lile tukio vijana waliamua wamtete boss wao kwa matokeo yale na si kingine 😂😂😂hata mashabiki ni kama baada ya pale hawakua tena na kingine zaidi ya kuwapush wachezaji wafanya yao...Kama asingejifanya kichwa ngumu huenda ingeisha hata draw ile ile.
Ila akaanza kuwapandishia kibezi kaka zake,
Ushindi mzuri sana kaka pale Angekuwepo pep angeendelea kumuadhibu Mwanafunzi wake mikel hata 6 jamaa hanaga huruma