Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee ile sijawahi ona hesabu Kali kama zile
Shambulio la presha ,mpira kasi alafu mtu anadondoka uvunguni kama utani kumbe kweli!
Game ngumu leo😤
Duuuh ile tackle ya VVD dakika za mwisho inaweza kua tackle of the season.. Ile ilikua goal scoring opportunity lakini VVD with cool head kaizima very calmly...

YNWA
 
Aisee ile sijawahi ona hesabu Kali kama zile
Shambulio la presha ,mpira kasi alafu mtu anadondoka uvunguni kama utani kumbe kweli!
Game ngumu leo😤
Bwana wee..

VVD kama VVD kafanya bonge la timing aafu baada ya kazi murwa sana kamwambia dogo amka hahaha yaaani...

Ile tackle inastahili tupate angalau pointi 3 muhimu sana..

YNWA
 
We are poor today...

Klopp anawaambia wachezaji watulize mpira lakini duuh...

Kuna muda MF wanakua by standers kabisa..

YNWA
 
Wachezaji wa Westham wapimwe kama wanatumia dawa ya kuongeza nguvu haiwezekani😤😤
 
Yaaani ukiangalia benchi letu nani aingie alete idea mpya unachoka kabisa...

Pale kati pamekufa kabisaaaa...


YNWA
 
Reactions: Lee
Daah Yan mpaka Zuma kafunga 🙄🙄
Ndugu zangu tukawaombe msamah manyua 🙌🙌
 
Vp tunaendelea kutazama mechi? Au ndio tuzime Tv tukalale? [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mkuu unajisikiaje mpaka sasa. Hapa ukishinda ni drow naamini zile tambo zilikuwa kabla ya mechi sasa imebaki tambo baada ya mechi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…