Rent boyz [emoji3].
Wamepata sare huko .sasa hivi akili zitaanza kuwa kaa sawa .
Inanikumbusha zile sare za 2018 2019 tulitoa sare Leicester, Westham na Manchester United zilitunyima ubingwa hivi hivi yaaani kuliko kua na sare mbili bora upigwe hata mara moja na kuanze mishe upya...Mechi tuliyo droo kiuhalali kabisa ni ile vs Mancity tu, game nyingine zote tume draw kwa uzembe wetu wenyewe.
Mkuu kwani ninyi mlivyopata sare akili iliwakaa sawa.
Kujidai ni kwa kila timu kabla ya mchezo na baada ya mchezo.
Mfano leo mbano wote mnasema mnaenda kushinda. Tayari mna matokeo mkononi au mfukoni. Kwenye mpira lazima tujitape kabla ya mechi. Na baada ya mechi.
Ukifungwa umesidiwa mbinu ukishinda umemzidi mpinzani wako mbinu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbuka ni wanaume 11 against wanaume 11 ....Mkuu mpira umeanza kuangalia lini?
Mkuu timu yangu naijua vizuri sana,sijaanza kuangalia mpira leo mkuu.
Timu yangu kufungwa au kutokufanya vizuri na kuwa najua tatizo ni nini.
Mechi ya leo wachezaji niliokuwa nataka wawe Po wapo.
Leo ushindi ni uhakika asilimia 100.
Kikosi chetu kiko kamili.
Asante mkuu[emoji120]Hey Saint Anne leo mechi yetu EPL ni saa moja unusu saa za Afrika Mashariki...
Liverpool tutakua ugenini London Stadium kuwavaa rejuvenated Westham..
YNWA
Westham wameanza msimu huu vizuri sana ni mwanzo mwema sana kwa Moyes tangu ameanza kuwanoa hawa jamaa..Asante mkuu[emoji120]
I appreciate this [emoji120][emoji120][emoji120]
Ngoja nikaze moyo nitazame.
Tutashinda hopefully.
Sent using Jamii Forums mobile app
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥..Nikimaliza kuchoma Kuku hapa nasogea karibu na TV nikishikilia Pepsi barini kuangalia Pira mateso watakalopiga Liverpool
YNWA[emoji3590][emoji3590][emoji3590]Westham wameanza msimu huu vizuri sana ni mwanzo mwema sana kwa Moyes tangu ameanza kuwanoa hawa jamaa..
Kwetu moto ni ule ule tunahitaji pointi 3 muhimu sana kabla ya break mechi za kimataifa hivyo vijana naamini watapambana vyema kuhakikisha London tunaodoka na pointi 3 murwa sana..
Dogo Ox kocha ameshateta nae maana ndio weak link ya MF hivyo kuanzia mechi ya Atletico Madrid ameaonyesha kuelewa majukumu yake uwanjani..
YNWA
Duh unamfahamu huyo Kop? Au ulikuwaga unapita kimya kimya?Kuna mdau anaitwa MosDef
Sijamtia machoni siku nyingi hapa jukwaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
VP nasikia kelele Salah ameshaweka nn?Naamini ushindi jionii hii ya leo, nimeshaa mbele ya TV na kinywaji changu hapa kujionea mpira wa uhakika..
#YNWA
Nilikuwa napita humu kusoma uchambuzi wake.Duh unamfahamu huyo Kop? Au ulikuwaga unapita kimya kimya?