Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ona takataka hii. Eti hatuna mchezaji wa kutupa ubingwa???

Mchezaji kama nani kwa mfano?

Chelsea kila mtu anafunga...
Striker zote majeruhi lakini bado tunapeleka moto tu...
 
Huu mwezi wa 11 ukiisha bado chelsea anaongoza ligi mkatafute kazi nyingine ya kufanya...

Nawatahadharisha mapema.

Maana najua hamuamini
 
Mkuu kiukweli hamna wachezaji wakuwapa ubingwa pale Epl, ni swala la muda tu.

Saizi hautaelewa subiria ligi iishe ndio utaelewa,hawezi kuelewa saizi kwa sababu unaongoza ligi.

Na hutaki kusikia chochote zaizi ya kuambiwa unachukua ubingwa.
Wachezaji kama nani kwa mfano?

Pale kila muda mchezaji yoyote anatia goal...

Siyo kama Liver kuku eti salah asipofunga basi biashara lazima iwakate.
 
Hahahah mtajua hamjui....
 
Inakuaje ina team yakawaida ukiwa inaongoza magoal yakufunga na ndio team iliyoruhusu magoal machache huo ukawaida unaozungumza uko wapi?

Chelsea haiongozi kwenye magoli ya kufunga mkuu,yaani mlivyoshinda zile goli 7 na 3 hizo ndio unalazimisha kwamba mnaongonza goli za kufunga kweli?. Sasa ukaona utawadanganya watu huku.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…