Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,471
- 32,922
Sikushangaa sana maana ilikua direct shot kwake na ni mara chache sana atajikuta eneo kama lile ukizingatia yeye ni beki..Neco Williams katunyima goli la tatu pale. That was more easier to pass to Minamino than scoring.
Haha ataliota leo lile goli...A ghost of a goal. Mini scorpion kick. 😂
Kipara leo atanuna sana maana...City out. We should go for this cup asee.
Yeah alitaka pia ku cap his brilliant performance. Sio mbaya.Sikushangaa sana maana ilikua direct shot kwake na ni mara chache sana atajikuta eneo kama lile ukizingatia yeye ni beki..
YNWA
Barca wapo kwenyw crisis kubwa sana. Kwani kumpata Xavi ina challenge gani kwao? Si atakuwa home boy anarejea.Kipara leo atanuna sana maana...
Chaliifrancisco hivi hawa Barcelona mbona kichefuchefu maana Raisi anadai hamfukuzi Koeman mpaka awe na uhakika wa kumpata Klopp au Xavi.
Sasa najiuliza Klopp yupo sokoni kusaka kazi mpya au anajiresi.. Je Klopp aliwai kua na mazungumzo nao ikitokea kazi apewe 1st refusal to sign ama huyu Laporte anacheza na akili za mashabiki na board yake.
Ngoja tuone hii ishu itakwenda aje...
Unless kuwe na behind the scenes pale Anfield sitegemei kuona hizi gossip zikiwa na ukweli wowote..
YNWA
City out. We should go for this cup asee.
Nahisi yule raisi wa Barcelona anachanganyikiwa maana where in the world will Klopp join a sinking ship...Barca wapo kwenyw crisis kubwa sana. Kwani kumpata Xavi ina challenge gani kwao? Si atakuwa home boy anarejea.
Klopp wamwache kwanza asee project yao sidhani kama itamvutia kwa sasa.
Nahisi yule raisi wa Barcelona anachanganyikiwa maana where in the world will Klopp join a sinking ship...
Watuache kwani aliewalazimisha kununua wachezaji vilaka ni nani mpaka yamewakuta...
Wakomae na Xavi anawatosha...
YNWA
Acha kumweka Ronaldo na Salah kwenye picha moja Salah ni Takataka mbele ya Ronaldo.
Salah hajafika hata nusu ya ubora wa Ronaldo
Naona tayari wameshamtimuaNahisi yule raisi wa Barcelona anachanganyikiwa maana where in the world will Klopp join a sinking ship...
Watuache kwani aliewalazimisha kununua wachezaji vilaka ni nani mpaka yamewakuta...
Wakomae na Xavi anawatosha...
YNWA
Yaani inabidi bwana John Henry awaulize wanavuta nini pale Catalan.Wametumia hela vibaya sana,walikuwa wanafanya masajiri ya siyo kuwa na maana,sasa wanataka klopp haende kuwasaidi.
Sasa barcelona itarudi ilipotoka,inakuwa timu ya kawaida.
Mafanikio yaliwachanganya wakawa wanatumia hela ovyo,usajiri kila kukicha.
Sasa hakuna anetaka kwenda barcelona.