Ukitukana ndio utakuwa mshindi au!!Very stupid comment
City aliwapiga, akapigwa na totts, na nyie mkampiga totts… huwezi kujua hayo because tayari dish lime yum a
Very stupid
Btw, Liverpool ndiyo team pekee ambayo haijapoteza mechi epl
Yaani Liverpool akiwa taa limewaka hivi nakuhahakikishia utashuka pale.. Mark my words unaongoza EPL kwa muda tu ila ikifika Mei kipenga cha mwisho priiiiiiiiii zile ribbon za kombe la EPL zitawekwa za rangi nyekudu kuashilia majogoo wameshinda taji la 20...Pale juu andika maumivu mkuu ..sahau kabisa kuhusu pale juu, kwa Sasa ni mwendo wa kugawa dozi bao Saba Saba tu sisi hatutegemei mtu mmoja ndio aokoe jahazi.
CFC💙💙💙
Hivi hawa Brentford na Crystal Palace hatuwawezi bila Mane na Salah seriously ... Kwa huyu Klopp alivyosasa sioni tuki drop pointi kwa hizo gemu 2 za EPL.. Tena hao Bees watatua Anfield tuna jambo letu...Solutuon ni kuwa Egypt na Senegal zitolewe hatua ya Makundi tu lakini ukweli ni kwamba kwa Egypt haitowezekana.
Mzee wa Tika Tika alichowafanya hawa Toffees wekedi hii ni aibu yaani EPL raha sana aisee hainaga matokeo ya mfukoni.Everton wanatakiwa watukute kwenye morali hii hii ili tuwanyoe vipara.
Asee kumbe ni wengi huu ushindi wa Liverpool umefuta machungu ya kwa Mkapa. BitterSweet sundayNiko kwenye huu uzi almost everyday, jana was bittersweet to me, Simba na Liverpool.
Man, Salah is so so inspirational, his timely shooting and passing is invaluable.
Kumbe winter break inaanza msimu huu aisee nilijua ni mwaka kesho 2023... Hii taarifa safi sana na hakika twende sawa na Ligi zingine maana ilikua mchakamchaka na ile baridi nomaaaa sanaaa...January kuna winter break ya week mbili so tayari itapunguza idadi ya mechi ambazo wangekosa.
Na pia tarehe 27 December ndio siku team za AFCON zitatangaza vikosi vyao rasmi (majina ya walioitwa) hiyo ni wazi watacheza game ya boxing day vs Leeds.
Pia kuna tetesi kuwa LFC wataongea na football associations za Misri Guinea na Senegal wawaruhusu wacheze kwanza game ya Chelsea tarehe 2 January maana AFCON inaanza tarehe 9 January na final yake ni 7 February.
Hapo January pia kuna rounds mbili za FA cup zinachezwa na pia nusu fainali ya Carabao cup. Hizi mechi tunajua hata wakiwepo wangeweza kupumzishwa.
So game mbili tu za muhimu ndio wanaweza kuzikosa za Brentford tarehe 15 na Palace tarehe 22 January.
Game ya Leicester ya tarehe 9 February itategemea na team zao zitakuwa zimefikia hatua gani huko AFCON so kama kuna ambae atakuwa amecheza fainali lazima atai miss hiyo maana ipo siku mbili baada ya fainal.
Hivi Mkuu lembu hayo magoli angefunga Timo au Lukaku jamaa yako Ollachuga Oc angekua anakesha huu uzi😂😂😂...Magoli 27, Salah pekee kaweka mguu wake kwenye 15
Hongera Salah
Golden boot ya ndondo cup labdaLukaku the great ni mashine ingine mkuu. Ngoja January ifike, yeye ndio atakayebeba golden boot.
Sana aiseeAsee kumbe ni wengi huu ushindi wa Liverpool umefuta machungu ya kwa Mkapa. BitterSweet sunday
Lukaku the great ni mashine ingine mkuu. Ngoja January ifike, yeye ndio atakayebeba golden boot.
Yeah winter break ipo kati ya January 23 hadi February 7.Kumbe winter break inaanza msimu huu aisee nilijua ni mwaka kesho 2023... Hii taarifa safi sana na hakika twende sawa na Ligi zingine maana ilikua mchakamchaka na ile baridi nomaaaa sanaaa...
Mhmhmh hii gemu ya Leicester tunawahitaji wakali wetu pale mbele wawe washarudi... Siku mbili nyingi sana watakua wametua UK hopefully hakutakua na mambo ya karantini.
Hayo ma Carabao/FA tuna vijana wa kupambana hivyo sio ishu kuu kwetu..
Hapa cha msingi madhubuti ni vijana wasipate majeraha mapya na kujikusanyia pointi za kutosha mapema tu yaani...
YNWA
Safi sana kwa ufinyu wa kikosi chetu hii imekuja wakati sahihi kabisa.Yeah winter break ipo kati ya January 23 hadi February 7.
🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 To you alll. From Klopp with love.
Kumbe winter break inaanza msimu huu aisee nilijua ni mwaka kesho 2023... Hii taarifa safi sana na hakika twende sawa na Ligi zingine maana ilikua mchakamchaka na ile baridi nomaaaa sanaaa...
Mhmhmh hii gemu ya Leicester tunawahitaji wakali wetu pale mbele wawe washarudi... Siku mbili nyingi sana watakua wametua UK hopefully hakutakua na mambo ya karantini.
Hayo ma Carabao/FA tuna vijana wa kupambana hivyo sio ishu kuu kwetu..
Hapa cha msingi madhubuti ni vijana wasipate majeraha mapya na kujikusanyia pointi za kutosha mapema tu yaani...
YNWA