Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,606
- 81,642
January kuna winter break ya week mbili so tayari itapunguza idadi ya mechi ambazo wangekosa.Kila nikikaaa napata wasiwasi hapo mbeleni kila ninapoikumbuka AFCON.
Tutamkosa SALAH na MANE.
Huenda kikawa kipindi kigumu sana kwetu
Hapo Afcon ndio sitaki hata kupawaza maana pale mbele itakua ni Jota, Bobby, Taikumi huku sub ni Origi na Chamberlain. Kwa kuombea kusiwe na majeruhi kwa hao watakaobaki...
YNWA
January kuna winter break ya week mbili so tayari itapunguza idadi ya mechi ambazo wangekosa.
Na pia tarehe 27 December ndio siku team za AFCON zitatangaza vikosi vyao rasmi (majina ya walioitwa) hiyo ni wazi watacheza game ya boxing day vs Leeds.
Pia kuna tetesi kuwa LFC wataongea na football associations za Misri Guinea na Senegal wawaruhusu wacheze kwanza game ya Chelsea tarehe 2 January maana AFCON inaanza tarehe 9 January na final yake ni 7 February.
Hapo January pia kuna rounds mbili za FA cup zinachezwa na pia nusu fainali ya Carabao cup. Hizi mechi tunajua hata wakiwepo wangeweza kupumzishwa.
So game mbili tu za muhimu ndio wanaweza kuzikosa za Brentford tarehe 15 na Palace tarehe 22 January.
Game ya Leicester ya tarehe 9 February itategemea na team zao zitakuwa zimefikia hatua gani huko AFCON so kama kuna ambae atakuwa amecheza fainali lazima atai miss hiyo maana ipo siku mbili baada ya fainal.
Cheki hii takataka inaropoka ropoka tu bila kutumia akili. Mimi nimesema mfumo wa Chelsea hautegemei mtu mmoja tu Kama nyie kuku ambapo Salah asipocheza hakika mtatafuta pa kutokeaHii mbanga sijui inatumia kilevi gani....liver inategemeà Salah...tu?...angalia numbers za salah jota firmino na mane....
Ulinganishe na papatu papatua yenu...kazi kupaki bus hata mpira unakua hauvutii kuangalia
Fake nine: Messi
Huu ndio ujinga wa kutegemea wachezaji wawili au watatu ndio wabadili matokeo.Kila nikikaaa napata wasiwasi hapo mbeleni kila ninapoikumbuka AFCON.
Tutamkosa SALAH na MANE.
Huenda kikawa kipindi kigumu sana kwetu
Mkuu kwa Sasa Nani hayiogopi Chelsea? Kuwa Malini unapokutana na mocha mwenye mbinu nyingi. Ukimkaba Salaha asifunge Nani atafunga Tena? Mane ni takataka kwa Sasa, firmino ndio mzigo kabisa. Nani mwingine wa kufunga?! Origi??!Wewe ndo ulisema anakuja kua tishio epl...
Sikiliza wewe ..sisi hatutegemei ushindi wa mtu ndio afunge mshinde. Angalia timu inayoongoza kwa first 11 yote kufunga.SimTank alibahatika Magoli ya Mdondo kwenye mechi 2 za kwanza wakaona ni bonge la Striker kumbe ni Mugalu aliyenenepa tu.
Lukaku out for 1 month!Tatizo ni mfumo jinsi timu inavyocheza ..yani kila mchezaji anataka kufunga. Tuseme tu ukweli TT bado hajaweza kujua namna ta kumtumia Lukaku vizuri.
Lukaku the great ni mashine ingine mkuu. Ngoja January ifike, yeye ndio atakayebeba golden boot.Aseee ngoja tumuone mpaka mwisho wa msimu kama goli zitafika 15 😂
Watu walikuwa wanamsema sana huyo bwana mdogo! Jana kapiga mpira mkubwa sana! Kuna watu pia walikuwa wanamsemasema Firminho! Lakini sasa hivi yuko fire hatari sana! Jana katoa mapande ya hatari kabisa!Keita jana kaupiga mwingi sana aisee aliye muumiza alaaniwe.
Dah taarifa mbaya hii ..munabahati Sana Salah ana bahati kweliLukaku out for 1 month!
Unamfunga mvimba macho wakati Brentford ulimshindwa.Mkuu kule kwako kunaboa sio?
Usituharibie sherehe
Pale juu andika maumivu mkuu ..sahau kabisa kuhusu pale juu, kwa Sasa ni mwendo wa kugawa dozi bao Saba Saba tu sisi hatutegemei mtu mmoja ndio aokoe jahazi.Ollachuga Oc shame on you na ramli batili yako...
Utajiju yaaani tupo na wewe mpaka ung'oke pale juu urudi ulikozoea...
YNWA
Karibu kiumeni.Nimeamua kwa hiyari yangu mwenyewe nikiwa na akili timamu, kuanzia jana tarehe 24/10/2021 natangaza rasmi kwamba mimi Blackwalker nimekuwa shabiki ndakindaki wa Liverpool. Eee mwenyezi Mungu nisaidie.
Yani ikifika January Mudi atakuwa na 20+ goals ambazo Rukarukatu hafikishi hata 15 kwenye mashindano yoteLukaku the great ni mashine ingine mkuu. Ngoja January ifike, yeye ndio atakayebeba golden boot.
Very stupid commentUnamfunga mvimba macho wakati Brentford ulimshindwa.
We jamaa upo [emoji23][emoji23][emoji23]Niko kwenye huu uzi almost everyday, jana was bittersweet to me, Simba na Liverpool.
Man, Salah is so so inspirational, his timely shooting and passing is invaluable.