Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Future Captain wa hii Klabu Kongwe.View attachment 1966579
Happy Birthday Trent Alexander-Arnold
134 PL Appearances
43 Clean Sheets
35 Assists
8 Goals
1 Premier League 🥇
1 Champions League 🥇
1 Super Cup 🥇
1 Club World Cup 🥇
He turns 23 today!
Wameanza mbwembwe zao.Hawa Saudia waliikosa aje Liverpool miaka ileeeeee.
Kwa namna walivyo na njaa ya kuteka hii EPL naona Conte angewafaa kwa vile kwao waarabu mpunga upo wa kutosha.
Epl itazidi kunoga sanaaaa...
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pesa tu hazitoshi ....Wameanza mbwembwe zao.
Steven Gerrard anatua pale.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pesa tu hazitoshi ....
Wanauhakika wa kupata Manager mkali
Ebwana weee mdogo mdogo wanaanza kama Mansour alivyotua pale Ethad mwaka 2008 na jamaa wakaanza kua formidable force hapa EPL nk....Wameanza mbwembwe zao.
Pain Killer hivi hizi ela mnazi print pale pale Ethad ama maana huu mpunga si mchezo yaaani ndani miaka 13 mmetumia £2.5b jamani. Na mpaka sasa Champions League inawapiga chenga. Huyu Pep pamoja na kua kocha bora asipoileta hii UCL Ethad itakua hasara sana aisee...Ebwana weee mdogo mdogo wanaanza kama Mansour alivyotua pale Ethad mwaka 2008 na jamaa wakaanza kua formidable force hapa EPL nk....
Je tutegemee haya kwa Magpies... in the 13 years under Sheikh Mansour, City have won 5 Premier League titles, 2 FA Cups and 6 EFL Cups. But even after the £2.5bn ($3.5bn) of Abu Dhabi money that has reportedly been invested in the club since Mansour's takeover, the coveted Champions League has continued to elude the blue half of Manchester....
YNWA
CL inaumiza kichwa cha pep ....Pain Killer hivi hizi ela mnazi print pale pale Ethad ama maana huu mpunga si mchezo yaaani ndani miaka 13 mmetumia £2.5b jamani. Na mpaka sasa Champions League inawapiga chenga. Huyu Pep pamoja na kua kocha bora asipoileta hii UCL Ethad itakua hasara sana aisee...
YNWA
Sema mke wangu unasemaje!?Mume wako leo kaponea kupakatwa
Mpaka hapo pep anatakiwa kujengewa sanamu Etihad ,kuifikisha city final CL kwa mara ya kwanza sio mchezo .....Pain Killer hivi hizi ela mnazi print pale pale Ethad ama maana huu mpunga si mchezo yaaani ndani miaka 13 mmetumia £2.5b jamani. Na mpaka sasa Champions League inawapiga chenga. Huyu Pep pamoja na kua kocha bora asipoileta hii UCL Ethad itakua hasara sana aisee...
YNWA
Klabu yenu ni ndogo sanaMpaka hapo pep anatakiwa kujengewa sanamu Etihad ,kuifikisha city final CL kwa mara ya kwanza sio mchezo .....
And CL sio kombe la kawaida ,huwezi ingia final at first time na kulibeba .....
Underdog kwa nan ,maana hapo anfield umeshindwa kuchukua point 3 mbele yakeKlabu yenu ni ndogo sana
Kuingia fainali first time mmekuwa excited[emoji1787]
Man shit ni underdog tu
Bila shaka mtalipata tu ni suala la muda.CL inaumiza kichwa cha pep ....
Muda ukifika tutachukua tu ,tumpe muda pep...
Sanamu mpaka achukue UCL bhanaaa sio hivi hivi....Mpaka hapo pep anatakiwa kujengewa sanamu Etihad ,kuifikisha city final CL kwa mara ya kwanza sio mchezo .....
And CL sio kombe la kawaida ,huwezi ingia final at first time na kulibeba .....
Nasikia pia Curtis Jones ni majeruh....aiseeDeveloping News...
Upo uwezekano wa kuwakosa Fabinho na Allison mechi ijayo EPL dhidi ya Watford kwa namna mechi zao za Kimataifa zilivyopangwa imeshidikana. Liverpool waliadika barua kwenda Watford kuwaomba mechi ichezwe saa nne usiku lakini Watford wamekataa wakisema kubadili kwa muda huu kutawachanganya mashabiki wao.
YNWA
Jamani mbona huu upepo unakuja kwa kasi...
Jones atakuepo....Ni issue ndogo tuJamani mbona huu upepo unakuja kwa kasi...
Thiago upo uwezekano akarejea hio mechi..
YNWA
NEWS | Curtis Jones was left out of England u21’s game last night due to a muscle injury. Diogo Jota has been left out of Portugal’s training due to a muscle injury.Jones atakuepo....Ni issue ndogo tu