Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Federico Chiesa unamkumbuka huyu aliwafanya nini ni hiyo beki mnayojidai nayo
Acha uvivu nenda kaangalia matobo mmeshatobolewa mara 6, hustahili hata kulinganisha defence ya Chelsea na ya kwenye, mayenu tu pale. Beki ni VVD tu wengine wanacheza tu Mdumange
 
Fisi tu anayewinda mkono wa binadamu akidhania mkono unaoswing utadondoka ndiye anayewaza kama wewe
Hiyo ligi ya 2018/19 nimeitolea kama mfano tu wa jinsi mnavyowaza kijinga
Sis kuwa juu nimekupa tu mfano na maelezo yangu haina maana tutaendelea kuwa juu, ofcourse tukifungwa sana tukapoteza points tutashuka, ila pia tusipopoteza points na nyie mkaendela kuwa unbeaten na droo nyingi tutawaacha mbali
 
Kitu kilicho baki kwa chelsea kwa sasa ni kwamba wanaongoza league tu, hawakumbuki ball possession waliyo kuwa nayo kwa city [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani ball possession ndio inachukua ubingwa, you are kidding ehh!
 
Mmetupa game nzuri sana second half sisi watazamaji kipindi cha kwanza mlipwaya sana ni city tu hawakuwa makini hasa hasa foden

Kipindi cha pili mlikuja tofauti, Salah ile ndio silaha ya KLOP, leo hii salah angekuwa Muingereza/Mzungu kutoka nchi yeyote angepata heshima anayostahili, salah nimuhim kama alivyomuhim van dijk kwenye tim yenu
 
Goli la pili mkuu ni deflection,sijaona goli tulilofungwa hapo la kulaumu beki mbovu.

Goli kama la mo salah alilowafunga man city hilo ndio ungesema beki mbovu .

Tuko vizuri na ubingwa msimu huu tunabeba .

16 Epl matches still unbeaten .
Mkuu hivi tangu ligi imeanza tukishambuliwa hua husikii goosebumps πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....

Sijui ni vile hawa jamaa Matip na VVD wamekaa majeruhi muda mrefu sana ama niaje lakini ipo shinda pale yaaani kuna some tension inaedelea... Na pia kutokua na bei wa pembeni kulia wa uhakika haisaidii sana mipango...

Ubingwa bado sana ligi ipo wazi. Timu hizi kati ya Liverpool, Manchester City au Chelsea wanaweza kua mabingwa.

Furaha yangu tujikusanyie pointi za kutosha kabla ya January 2022 ili tujiweke nafasi nzuri.

YNWA
 
umemaliza kila kitu kaka.
 
Goli la pili mkuu ni deflection,sijaona goli tulilofungwa hapo la kulaumu beki mbovu.

Goli kama la mo salah alilowafunga man city hilo ndio ungesema beki mbovu .

Tuko vizuri na ubingwa msimu huu tunabeba .

16 Epl matches still unbeaten .
Mkuu magoli aliyofungwa liver ni uzembe wa beki, usiangalie mfungaji angalia mpira ulipotoka kabla haujafika kwa mfungaji
 
Nahiyo shot off target walijitahidi mno alafu et kutoa kwetu draw wanafulahi ili washike nafasi sio yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kama ni nafasi yako si ungeshinda uishike?

Ona huyu...
 
Mkuu Jones alikua na kazi mbili leo kwanza ku dictate tempo upande wa kushoto lakini pia akae mbega kwa mbega na Kevin na hakika kazi amefanya powa kabisa kasababisha magoli...

Huyu dogo ni hazina kwa Liverpool no wonder akiwa na miaka 17 Steve alimpa ucaptain wa juniors...

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…