Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp on FSG policy..

"We're different, there are different philosophies; our owners have their philosophy and we won the league and the Champions League so it cannot be that bad. And we are really in the situation where we want to improve this team and this club constantly. What other people think and say, I'm really not bothered about."

It doesn't bother me," Klopp says with a shrug. "I know how the world is. If you don't buy this and this, and they do, people say you should have strengthened.

Klopp on recruitment

"Yeah, there's always space for that but we did it in the right moments when the player was there for us. When it's there, we go for it; when it's not, we don't try with another version.

Haya mambo ni Klopp tu hayaelewa aisee.

YNWA
 
sasa mkuu sio mambo ya misimu iliyopita

Hapo kwa Vvd na Mustafi ni season ya World cup hii?? tolea mfano wa season hii mkuu.

Ndio ujue kuna wakati hauwezi kukwepa vya nyuma. Ukijifanya hautaki yaliyopita hautajua uendapo.

Mkuu ndio kwanza tupo GW 7 Embu leta negative stats zozote za Milner.

Sema nini jamaa hua unaharibu sana kwenye namna ya kuwasilisha ukosoaji wako.
 
King...sijawah kumuelewa kabisaaa....haon jins milner anapiga Kaz....
Yeye anatakaje yanii
Huyu jamaa bwana mara nyingi anakosoa si kitu kibaya ila namna anavyokosoa ndio unawaza vile anajinadi na ukongwe wake hauendani kabisa.

Anyway mawazo ya mtu ya heshimiwe bro.
Ila Hekima na Busara ndio ladha ya mijadala kukosolewa kupo ila kwa mijadala.

Milner at the age of 37 ila kazi anayopiga ni balaa ni kama ana 28. Z ile pressing matches MILNER anaziweza pamoja na umri wake ila defensively ni balaa.
 
Hahahaha nimecheka sana sentensi ya mwiaho hapo.

Ni kweli Klopp ndio huelewa vyema na FSG. Kwa mimi JK anaipenda kazi yake na anapenda iwe rahisi kwake. Anatunza amani ya klabu na uzuri mpira unachezwa hadharani mambo yanajidhihirisha mapungufu yanaonekana na sisi tutaona na kuleta amsha amsha wasajili.

Our best signing is JURGEN NOBERT KLOPP.
 
Hahahaha nimecheka sana sentensi ya mwiaho hapo.

Ni kweli Klopp ndio huelewa vyema na FSG. Kwa mimi JK anaipenda kazi yake na anapenda iwe rahisi kwake. Anatunza amani ya klabu na uzuri mpira unachezwa hadharani mambo yanajidhihirisha mapungufu yanaonekana na sisi tutaona na kuleta amsha amsha wasajili.

Our best signing is JURGEN NOBERT KLOPP.
 
Wapo vizuri ila sio kwa kiwango wanachojiweka wao...

Mechi kumi watakua wameelewa somo na huyu TT kumaliza may shughuli

Sasahivi wanalalamika eti Refa anawaonea wakati wanafunga Magoli ya kiuporaji.
Toka lini Simtank akafunga goli la halali.
 
Azipilcueta anapiga Roba utadhani wale Mateja wa zamani pale Manzese halafu wanataka wapewe goli. Pumbav
 
Chelsea kasawazishiwa πŸ˜‚πŸ˜‚

Refa maliza gemu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Chillwel kafinywa Kala Nyasi akaamua amlime Mtu buti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tunapaswa kujilaumu kuwakosa hawa Chelsea
Tulipaswa kuwala mapema tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Manure game ya mwanzo walipofunga Wamachinga goli 5 walijitangaza kubeba Makombe yote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasahivi sio Maji tu bali Pombe wanaita mma πŸ˜‚
 
Huyu Tella ana style za Zaha lakini akipata Coaching nzuri anaweza kuwa bonge la Mchezaji
 
Surely Jurgen ndio usajili bora kwa Liverpool tangu 1990 aisee...

Huyu JK sio kocha wa kawaida yaaani yeye ni kazi tu hanaga siasa kulalamika eti amemkosa mchezaji fulani basi ndio mwisho wa dunia yeye hufanya kazi na wachezaji alionao.

Kwa kweli tuna bahati kua nae klabuni especially chini ya FSG ambao ni mabeberu mia kwa mia hawana cha kutazama kesho wanaishi kwa ajili ya leo.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…