Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Fabinho
Keita
Henderson
Milner
Jones
Elliot
Thiago
Chamberlain

Dah! Tuna maiti zinakula mishahara ya bure si mchezo Yani.

Hapo ndiyo tunakuwa brainwashed eti Liverpool ina kikosi kipana kumbe ni lundo la Watumishi hewa.
kote sawa mzee ila kuwaita walio hai maiti dah.! umevuka mipaka brother.

Hao pia ni binadamu kama wewe kama ndugu jamaa na marafiki zako.

Kua muungwana kukosoa busara na hekima ni njema sana kaka.

YNWA
 
Tunamuhitaji Jones kwenye zile long range shots.

Hizi ni nzuri ku unlock defense kwa timu zinazodefend deep. Good thing ni dribbler mzuri na shooting accurate yake ipo njema kwenye last 3 matches.

Stay Fit, get game time the rest will be history...
 
Timu yenu tunakataa kuwa ni nzuri kwa sababu mlishindwa kutufunga tukiwa pungufu, Hapo tu...

Kama ingekuwa kinyume chake yaani nyie ndo muwe na red card mngeona tungewafanya nn?
Kwahiyo...hicho ndio kipimo chenu Cha Tim nzuri?

Haki ya Mungu Chelsea mna matatizo...msim uliopita Leeds kamfunga city 2-1...Leeds akiwa na red card...na city ndio akawa bingwa......Kama nyinyi Ni Tim nzur mlishindwa nn kufanya Kama walichofanye Leeds kwa city .
 
Mngepata nyie red card ndio ungejua hujui.
 
King...sijawah kumuelewa kabisaaa....haon jins milner anapiga Kaz....
Yeye anatakaje yanii
 

Haya ni Mawazo yako
 

Mimi sina kawaida ya kuangalia ubora wa Mchezaji kwa kile alichokifanya miaka 3 iliyopita.
Mchezaji anaangaliwa kwa msimu huu uliopo anafanya nini.

Hii sera ya Mchezaji kupimwa kwa Mafanikio (ya Timu yake) sio kipimo sahihi cha Ubora wa Mchezaji kwani MUSTAFI akiwa Ujerumani amebeba Kombe la Dunia je MUSTAFI ni bora kuliko VVD?

Ubora wa Milner kwa mwaka 2016/17 na 2017/18 hautotusaidia chochote kwa mwaka huu wa 2021/22.

Iwe jua iwe mvua Milner sio mchezaji tena wa kuichezea Liverpool Timu inayopigania EPL na CL
 
Mimi sijalalamika kupewa red card. Au umeona kuna sehemu nimelalamikia hiyo red card.
Huna kawaidaa ya kumwin Liverpool we... Kwan Mara ngapi nakufunga ukiwa umetimiaaa.....tena ukiwa na wachezaji walio fire akina hazard ....achana na hao ulio nao akiw Werner na lukaku...wachezaji wa kuagizaa Kikuuu
 
Huna kawaidaa ya kumwin Liverpool we... Kwan Mara ngapi nakufunga ukiwa umetimiaaa.....tena ukiwa na wachezaji walio fire akina hazard ....achana na hao ulio nao akiw Werner na lukaku...wachezaji wa kuagizaa Kikuuu
Hao hao wa kina Werner msimu uliopita round ya pili walikubonda. Au ulikuwa hujazaliwa?
 
Huyu mwamba ndio kwanza ana miaka 25. Huyu chini ya Klopp atafika levo zingine kabisa. Edward ebu fanya kweli dogo Bissouma atue January hii.




YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…