kengele maziwa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2015
- 436
- 662
Wewe ollachuga ni MAJI kabisa [emoji23]Huu msimu kwa sasa nyie wana Liverpool mumeshapoteana ..kwa sasa hamuna kikosi cha kuleta ushindani mkubwa kwenye hii title, ninyi ni baiskeli ya barafu tu. January hapo tutaanza kushuhudia mutakavyopoteana hapa.
Sisi klab bingwa mapema tu ..tunabeba hili kombe ..
CFC
Yeah hilo ndio la msingi. Ila niliona tetesi kuwa Real Madrid wanammendea Mike Edwards, huyu jamaa akiondoka itakuwa ni pigo kwetu.Yes ni gradual addition mpaka tukae sawa. Cha msingi hapa ni ma scout kua macho muda wote ku profile wachezaji watakaoleta ubora ili ku maintain status.
YNWA
Yaan Nyie mashabiki wa Chelsea mlio wengi akili ziko miguuni....Yan unamwita liver underdog....wakat UEFA zenyewe unazo mbili tuu....Yan UEFA zenu ukizidisha Mara tatu ndo unapata za Liverpool..,..Kwa sasa kuifunga Chelsea goli zaidi ya moja mujipange sana.
Chelsea ndio timu pekee itakayokuwa na goli chache za kufungwa msimu huu.
Ninyi na defense yenu na lile shati lenu pale golini basi muna hatari sana ya kuwa na magoli mengi ya kufungwa.
Bwana Ilakiza ngoja nikudokeze kidogo ..sisi ni machampion wa Ulaya na dunia kwa ujumla. Hivyo usifananishe kikosi cha kimataifa na ninyi underdog ..huu msimu mabingwa tushajulikana kitambo kabla hara ligi ijaanza. Ninyi ni wa level ya chini sana kikosi chenu hakuna tena ule ubora wa mwanzo. Undeni timu kisha muje mushindane na wababe wa dunia.
Naona Rent Boys baada ya kufukuliwa Darajani na Man City sasahivi wanajifariji kwa kusema eti next week Brighton ndiye atakayeongoza Ligi [emoji23][emoji23][emoji23]
League n marathon ndefu ye kufungwa tena bila on target haiondoi Chelsea kuwa title contenders...na Chelsea kamalizana na almost fixture ngumu mzunguko wa kwanza...Wengi wao ni washambana sana mpira hawajui,hawana kikosi chakuchukua ubingwa ni swala la muda tu. Mechi yao na man city wamepiga shot off target ni moja tu na on target hakuna.
Brighton akiongoza ligi haiwasaidii chochote hao sisi tutarudi tu kwenye nafasi yetu ya kwanza hata baada ya wiki ijayo.
FSG wakitaka upgrade ya Edwards basi wampate huyu Mjeremani Ralf Rangnick huyu mwamba ndio kaikuza brand ya Red Bull wanaomiliki timu za RB Leipzig na RB Salzburg. Historia yake kwa hawa jamaa inatisha. Tazama 👇 ..Yeah hilo ndio la msingi. Ila niliona tetesi kuwa Real Madrid wanammendea Mike Edwards, huyu jamaa akiondoka itakuwa ni pigo kwetu.
Future looks bright sanaaa...
Hawa hapa bado sanaaaa...
Allison, Fabinho, TAA, Jones, Konate, Gomez, Jota, Elliott.
Mara pap Bissouma akatua 😂😂😂😂...
Umri wa wachezaji wetu kama ifuatavyo..
Liverpool FC Players And Their Age 2021/22.
#Player & Position Date Of Birth Age (2021)
1 Alisson Oct 2, 1992 28 yrs.
13 Adrian Jan 3, 1987 34yrs
62 Caoimhin Kelleher Nov 23, 1998 22yrs
4 Virgil van Dijk Jul 8, 1991 30yrs
12 Joe Gomez May 23, 1997 23yrs
32 Joel Matip Aug 8, 1991 30yrs
5 Ibrahim Konate May 25, 1999 22yrs
26 Andrew Robertson Mar 11, 1994 27yrs
21 Konstantinos Tsimikas May 12, 1996 25yrs
47 Nathaniel Phillips March 21 1997 24yrs
66 Trent Alexander-Arnold Oct 7, 1998 22yrs
76 Neco Williams Apr 13, 2001 20yrs
3 Fabinho Oct 23, 1993 27yrs
6 Thiago Apr 11, 1991 30yrs
46 Rhys Williams Feb 3, 2001 20yrs
8 Naby Keita Feb 10, 1995 26yrs
14 Jordan Henderson Jun 17, 1990 31yrs
15 Alex Oxlade-Chamberlain Aug 15,
1993 27yrs
67 Harvey Elliott April 4 2003 18yrs
7James Milner Jan 4, 1986 35yrs
17 Curtis Jones Jan 30, 2001 20yrs
10 Sadio Mane Apr 10, 1992 29yrs
20 Diogo Jota Dec 4, 1996 24yrs
18 Takumi Minamino Jan 16, 1995 26yrs
11 Mohamed Salah Jun 15, 1992 29yrs
9 Roberto Firmino Oct 2, 1991 29yrs
27 Divock Origi Apr 18, 1995 26yrs.
84 Conor Bradley July 9 2003 18yrs.
49 Kaide Gordon October 5 2004 16yrs
James Balagizi September 20 2003 18yrs.
80 Tyler Morton 31 October 2002 18yrs.
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Minamino na keita umri sawa? Mnhh
Minamino amezaliwa January 16, 1995 ana 26yrs.Minamino na keita umri sawa? Mnhh