Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu ushoga wako ni pro max

You can’t stay out of LFC dick kabisa
 
hao uchwara wanatoa ubingwa au ubingwa ndio kuwafunga wakubwa eh?

Fergie alihangaika kupata points kwa unaowaita uchwara timu kubwa ot alihakikisha points 3 au 1.

Ndiye kocha mwenye epl nyingi.
Muda ukifika utaelewa nilikuwa naongea nini.

Saiv bado upo gizani.
 

Tukimfunga Man City basi ile kauli ya Tuchel ya kutengeneza timu itakayoogopwa nitaanza kuielewa sasa.

Comeonchelsea[emoji170][emoji170]
 

Nakumbuka kipindi cha nyuma yule mwenyekiti wa liverpool halisi mr. malafyale nilikuwa namwambia ukiombea Chelsea njaa unibika mwenyewe. Siku hizi sijui yuko wapi?[emoji23][emoji23]
 
We chalii wa Chelwowo kuanzia next week utapotea kwenye majukwaa ya watu humu
 
Tukimfunga Man City basi ile kauli ya Tuchel ya kutengeneza timu itakayoogopwa nitaanza kuielewa sasa.

Comeonchelsea[emoji170][emoji170]
City hana pa kutokea labda alazimishe draw kitu ambacho akiwezekani mkuu.
Mpaka sasa tunaongoza 2 bila
CFC
 
Mzee don't be too complacent. Japo uko na team nzuri lakini football ina mambo yake. Just hope for the best.
 
Mzee don't be too complacent. Japo uko na team nzuri lakini football ina mambo yake. Just hope for the best.
Sisi kwa sasa ubora wetu haupimiki mkuu ..hatutabiriki kabisa.
Hivyo tukikutana na Chelsea kwa sasa subiri tu dakika tisini zikamilike uhesabu idadi ya goli ulizochakazwa. Hatuna time na kujenga timu sisi tu nataka makombe tu mkuu.
Karibu sana Chelsea, hii formula uki apply hadi kwenye maisha unafanikiwa mkuu, yani usiwe na muda na mtu wewe angalia achievement tu.
CFC
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…