Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu habari rafiki Angu. Jana tumekutana hata hunishtui tuangalie mpira pamoja. But hongera sana kwa kutandaza kambumbu safi kabisa. Sema ulikosa umakini baada ya sisi kuwa mapungufu eti.

Baada ya ile Red nikakumbuka Man City dhidi ya Arsenal kutandikwa magoli 5. Nikakumbuka tena jinsi man city alivyokupelekea moto kipindi kile umepata red card. Nikasema tayari yale ya West Brom yanataka kutokea Anfield[emoji24][emoji24]. Kumbe Tuchel alishajiandaa kupambana na vijana wake Aidha wabaki hata pungufu lakini yupo tayari kwa mapambano.

All is well tukawadhibiti ipasavyo na kutoa draw ya one one. See u next match.
 
Wakati tunatangaza tutanyanyua uefa msimu ulopita baadhi ya fans wenu kama akina king ngwaba walituchukulia sisi hamnazo ..maana Mimi nilisema kabisa "tukutane fainal na yeyote yule tumle kichwa. Akaja man Shityee tukamla"
Jana ninyi kuku tumewakosa kosa eti munaanza kulinganishia takwimu. Sisi tulicheza mpira wa defense zaid ya ni counter tu. Sasa nyie kuku tunapowaambia kwamba EPL ISHATUWA DARAJANI" basi muwe waelewa maana vipigo tunavyoenda kutowa msimu huu hii ligi itaionekana nyepesi sana.

CFC
 
Mane tujitathimini anahitaji changamoto
Mane Ameshakuwa trash ila ndio wa kwanza kulalamika akiwekwa nje. Ujue sometimes naamin kwel BOBBY alikuwa ana umuhimu mkubwa sana kwa hawa wings wetu wawili, na ndio maana tangu Bobby aflop uwezo wa MANE umekuwa wa utata utata.
 
Mkuu hapa kuna mahala nakupinga. Kama Chelsea ingekuwa wa kawaida naamini baada ya ile Red kard mngemfunga magoli mengi zaidi hata ya alivyo funga Man city dhidi ya Arsenal. Lakini kwasababu wewe huna plan wala nini ukashindwa kumfunga wakiwa 10 uwanjani.

Ebu niambie kati ya Chelsea na Liverpool nani ni wakawaida impaka hapo?
 
Arsenal walicheza open play na Man city baada ya red card na wakabugizwa 5-0
 
Takwimu bana, Mane tu ndie aliyegusa mpira kwenye final third ya Chelsea kabla ya Red Card,
 
Yaani sub ya Thiago & Keita or Chamberlain ilitakiwa mapema kabisa kipindi cha pili
 
Jana Hendo na Robo hawakupaswa kuanza, Kipindi cha Kwanza kabla ya Firmino niliona Hendo ndio alikuwa ana punguza kasi ya Mashambulizi yetu, Elliot na Fabinho walicheza vizuri sana kukaba na kutoa pasi, ila Hendo nilikuwa naona anajaribu kukaa mbele ya wachezaji na anakuwa kama muoga kuingiza mguu, Kama asingeanza Hendo jana tungeondoka kipindi cha kwanza tunaongoza
 
Since kipindi walichoibuka Gomez na TAA ila kwa bahati mbaya Gomez amepotezwa na injury basi Wachezaji wengine ninaowaona wanaibuka ni Elliot na Jones.

Mimi ningekuwa ndiyo Klopp kila game kwenye Mido ningepanga Senior Midfielders Wawili + Elliot halafu kwenye Sub namtoa Elliot namuongiza Jones.

Hapo ningewapa Gametime Vijana wote wawili bila ya kudumaza uwezo wao.
 
Kuna umuhimu wa kuviangalia Viwango vya Robbo na Hendo.

Ukweli usiofichika kwa sasa Tsimikas ni Bora kuliko Robertson.

VVD na MATIP sitilii shaka uwezo wao kwani wamesimama imara.
 
Hii timu haina meno ya kung'ata kabisa ,watu wameshapewa red card mnashindwa kupata point 3, mnaruka ruka tu uwanjan
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…