Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lukaku ana golden boot ngapi za epl? Bila kusahau huyo lukaku ana appearance ngapi?
Ndo unakimbilia kwenye golden boot sasa sio[emoji23]...mi nilichotaka kukuonesha usimuunderrate Lukaku kihivyo mzee coz ktk hii ligi ya EPL toka alipotoka Chelsea ule msimu wa 2013 anarekodi ya 10+ goals kila msimu na kuna msimu alimaliza WA pili nyuma ya kane km sikosei...yupo top 20 all-time EPL goalscorers...
 
Lukaku ana goli nyingi kwa mechi nyingi mno wakati salah ana mechi chache, kapitwa na lukaku mechi zaidi ya 100 wakati goli alizomzidi hazifiki 20
 
Lukaku rekodi yake ni kumaliza wapili nyuma ya wenzie wakati rekodi ya salah ni kufunga goli 32 kwa msumu kwa mechi 38 ambayo toka epl ianzishwe hakuna aliyeweza,
 
Yaaani kwa namna vijana walivyocheza nina imani kubwa mechi ijayo vs Les Blues itakua full cracker yaaani burudani kama zote...

YNWA
Nilisema kabla ya ligi kuanza kuwa kama kuna timu ambayo ime retain the strongest spine kwenye squad yake in LFC - and it's already showing.

We are winning games without breaking too much sweat - which epitomises our display at the same stage the season we won the league.
That year, our frightful & fearsome self was being reserved for the big boys - which is what the likes of Chelsea are going to face in our showdown with them.

Bring them on.... goddamn it!
 
This the way to go M-mbabe... We got to be positive with whats we have in the squad and once that positiveness translate to th players and we will have a formidable players...

Was very happy to see Matip and VVD back in serious business pale nyuma.
Cool statement. Watch this space.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…