King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,463
- 7,457
Umesubili livescore ndio uje utufokee hukuu eeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Siangalii mpira live, naona LiveScore tunazidiwa possession, Kuna nn huko wakuu?
Mambo matamu tu Error chache zinazofanywa na mabeki ndio zinaweza kuwa kirusi kwetu,Siangalii mpira live, naona LiveScore tunazidiwa possession, Kuna nn huko wakuu?
Ni kweli usajili ni muhimu but it didn't happen so, tuisusie Timu? Never.
Let's join our hands together tuisapport Timu yetu tuishangaze Dunia.
swala la kusajili sijajua linachukuliwaje, ila timu kama Man City ilikua ya kawaida kabla ya kuanza kufanya usajili wa kishindo, chelsea the same, hata sisi kama sio kuvunja benki kwa vvd, Ab1, fabinho nk tusingeiona EPL miaka 60, kwa hiyo usajili sio impact ya siku moja tuu, na huwezi kutwaa mataji bila kusajiliKuishangaza dunia kwa mara ya pili maana kuna msimu tulisajiri tu Adrian tukachukua ubingwa.