John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,040
Mshaanza kupata injury ya Robertson bado kina naby keita na mwenzie chamberlain hawajapata....mnataka muishangaze dunia Kwa kipi?Ligi ianze tu tuishangaze Dunia ya hawa Chequebook managers.
Iwapo hatutapata injuries kama za Msimu uliopita bado nina imani na hii Timu kwa 100% kuwa Msimu ujao itafanya makubwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi ipoMshaanza kupata injury ya Robertson bado kina naby keita na mwenzie chamberlain hawajapata....mnataka muishangaze dunia Kwa kipi?View attachment 1887436
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Wewe ....squad yetu ukiiangalia iko full......Tim Kama man u zilizozoea kisajil kila mwaka hazitutishHii timu imetumia €0.00 kufanya usjili huu msimu ,mbaya zaidi wanataka kushindana na wanaume kama man city ,Chelsea ,man utd ....
Mimi niwambie tu ukweli nyie kuku wa anfield ,hapa dunian hakuna miujiza wala kushinda league kwa bahati mbaya ...
Kwa msimu huu nyie Liverpool Hamna tofauti na spurs ,Norwich ,southmptom ....hata lecister city sio saizi yenu tena ....
Kiufupi ni mnaenda kuchezea kipigo heavy ,na hakuna wa kumlaumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu Hawa watu sijui Liverpool wanaichukuliajee....wanaona usajil Kama ndo kuchukua makombe...look at Man u .....imesajil wachezaji wangap....na imefanya nn.Ligi ianze tu tuishangaze Dunia ya hawa Chequebook managers.
Iwapo hatutapata injuries kama za Msimu uliopita bado nina imani na hii Timu kwa 100% kuwa Msimu ujao itafanya makubwa.
Tushamlamba mbabe wa Man u kimoko Ngoja tusubiri second timeIla Duh yule Mrusi haonagi shinda kulipa gharama za kutema kocha maana ukipiga hesabu wengi wao wametemwa na klabu hivyo mkwaja ni mrefu mno umetumika kuwalipa compensation bahati nzuri the guy is loaded with loads of cash yaani Chelsea ana itreat kama toy aisee.
Definitely Tuchel anawafaa sana hopefully atakuwepo klabuni kwa siku nyingi.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23]Huu Mkataba Mpya wa TAA ambao amekula hela Ndefu sio ya Kawaida huenda tukaambiwa ni New Signing
Moreno huwa hafai sikuzoteTushamlamba mbabe wa Man u kimoko Ngoja tusubiri second time
Huyu klopp huyu!View attachment 1888718
Huyu jamaa hajiamini na anaogopa wachezaji hawezi kuwashindanisha tumeona Mane alivo mkazia kwa kuwekwa bechi.Huyu klopp huyu!View attachment 1888718
Vvd has a very long road to recoveryHivi mlitoa mpunga wote ule kwa kuleta assist tu pale darajani....
VVD karudi Lukaku hana njia ujue apambane kuwafunga Norwich nk
YNWA
Sure the boy is not that young healing will take some time. The gaffer is impressed with the progress so far.Vvd has a very long road to recovery
we may not see the beat of him until December
let’s hope Konate will love up to our expectations
Hongera sana ndugu kwa kushinda Super Cup jana.Tushamlamba mbabe wa Man u kimoko Ngoja tusubiri second time
Elliot Harvey ni usajili mpya....Huyu klopp huyu!View attachment 1888718