Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Traore on Liverpool Radar

There are a lot of links about him. We’re talking about a fantastic player,” the Sky Sports journalist said on Don Robbie’s YouTube channel (via The Sport Review).

“The links about Liverpool are because Jurgen Klopp is a big fan of the player. He thinks Traore would be perfect for Liverpool.

“I’m told there are no negotiations between Liverpool and Wolves. It’s because Liverpool first have to sell players.

“[Xherdan] Shaqiri has to leave the club. Let’s see what happens with [Divock] Origi. They’re working to sell players in the coming days before they move.

They’re working on it and then they want to sign a new attacking player and a new midfielder if they have the right opportunity in August.

“Klopp likes the player but there are no negotiations between the two clubs. There isn’t something imminent for Liverpool as of today.”

My Take: tuwe na subira na soko wakuu kama mnavyoona ishu hapa ni kuuza ndio kununua.

YNWA
 
Pep kashapeleka ofa kwa Grealish huku na Kane wakiweka mikakati kumnasa.. Yaaani Pep kachukua ubingwa kafika fainali UCL na bado anaona kikosi kinahitaji kuongezewa nguvu..

Kama tunaingia EPL na hawa wachezaji waliopo bila shaka tusahau kitu kinaitwa ubingwa wa EPL.. Tumejaza ma pancha mnoooo...

Hivi Matip, Gomez, Keita na Chamberlain, Henderson like serious unaweza kuwategemea kuleta ubingwa huku muda mwingi wanatibiwa...

Hii mechi ya juzi imeonyesha dhahiri VVD ana safari ndefu ya kupona hivyo sitegemei kuona ule ukuta wetu ukiwa konki yaaani...

YNWA
Ni kweli kabisa
VVD anaweza kurudi kwenye uwezo wake baada ya mechi kama 15 na kuendelea au asirudi kabisa, katika hili Tujiandae kiakili .
 
Ni kweli kabisa
VVD anaweza kurudi kwenye uwezo wake baada ya mechi kama 15 na kuendelea au asirudi kabisa, katika hili Tujiandae kiakili .
Bwana wee hata Carragher anasema kwa VVD uvumilivu unahitajika aisee. Ajabu sasa FSG wasipowauza akina Origi, Karius, Keita, Shaqir nk wapo tayari kumuuza Phillips ili wapate mkwaja kununua AM mmoja.

Kila nikitazama hii situation naona kama vile Klopp angekomaa kwanza apate strika kwani pale mbele palishaanza kuchuja tangu msimu wa 2019 2020 January ilionekana kabisa jamaa zetu in Mane Bobby Salah uwezo umepungua na dhahiri last season hali ndio ikawa mbaya zaidi yaaani magoli tuliyapata kwa shinda mno.

Anahitajika real poacher pale mbele niliamimi Daka atatua kwetu mara huyooo Kinh Power hivyo namba 9 kwa kweli iwe priority.

Hili la kupambana kum replace Gini imekua mtihani sana kwao kwani bei ya all thier main target inaanzia £25m and above. Kama vipi Jones hii namba aikamate mazima na hio ela wamsake mfungaji wa ukweli maana sioni wakitoa ela kununua strika na AM dirisha hili.

Kwa kweli FSG na ma policy yao ya ajabu ajabu wapo hoi baada kukosa ma bilioni ya Europe super league.

YNWA
 
Pep kashapeleka ofa kwa Grealish huku na Kane wakiweka mikakati kumnasa.. Yaaani Pep kachukua ubingwa kafika fainali UCL na bado anaona kikosi kinahitaji kuongezewa nguvu..

Kama tunaingia EPL na hawa wachezaji waliopo bila shaka tusahau kitu kinaitwa ubingwa wa EPL.. Tumejaza ma pancha mnoooo...

Hivi Matip, Gomez, Keita na Chamberlain, Henderson like serious unaweza kuwategemea kuleta ubingwa huku muda mwingi wanatibiwa...

Hii mechi ya juzi imeonyesha dhahiri VVD ana safari ndefu ya kupona hivyo sitegemei kuona ule ukuta wetu ukiwa konki yaaani...

YNWA
hao jamaa hawawezi kuwa fit wote mpaka game ya 10 tuu ya msimu
 
hao jamaa hawawezi kuwa fit wote mpaka game ya 10 tuu ya msimu
Aisee hii timu naona ipo tee mbaya.

Pona yetu ni angalau ni pale nyuma wawe wazima aidha wote ama kwa nyakati tofauti sitegemei kuwaona Fabinho au Henderson wakicheza defence.

Pona yetu pia sitegemei pia kuona Klopp mwanzoni mwa EPL akitumia high line of defense kama last season hili nalo bila full recovery na match fitness italeta madhara.

YNWA
 
Gossip News

Liverpool held talks over a deal for Donyell Malen but it's understood the club's failure to offload Xherdan Shaqiri and Divock Origi stopped them from pressing ahead with the deal. Sky sports.

Duu ina maana tumefulia kiasi hiki.

FSG can make you laugh na kununa at the same time.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom