CrapHivi ndivyo TAAatakavyoonekana next season. View attachment 1819818
Kwan wamemaliza nafasi ya pili liverkuku?Hii timu nilitabili itamaliza msimu ikiwa nafasi ya pili, na imekua hivyo hivyo.
Msimu ujao big 4 sahauni.
Asses na totts ni sawa Tu na wolves Vs Birmingham
Huyu kilaza anajitambua basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwan wamemaliza nafasi ya pili liverkuku?
Ndio maana nikasema wewe jamaa ni kilaza level za stg[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii timu nilitabili itamaliza msimu ikiwa nafasi ya pili, na imekua hivyo hivyo.
Msimu ujao big 4 sahauni.
Hii ndo msimu huu tunaibeba mapema sana kabla hata ya March 2022Ratiba ipo upande wetu. Chelsea ndio anaweza kuwa mgumu.
Nyie ni kawaida yenu kuongoza league mpka Christmas ,then wanaume tunakuja kubeba EPL may [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ndo msimu huu tunaibeba mapema sana kabla hata ya March 2022
Hujui hata msimamo wa ligi ulivyoisha[emoji23][emoji23] kweli machimbo noma.Hii timu nilitabili itamaliza msimu ikiwa nafasi ya pili, na imekua hivyo hivyo.
Msimu ujao big 4 sahauni.
Hizi Game mtashinda moja tu..
Bado umelala? Amkaa....Safarini ya kuelekea kuchukua ubingwa naanza kuioma
We mvuta bange huishiwagi visaBado umelala? Amkaa....